Kenya confirms first case of Corona Virus

Kama hv
Screenshot_20200313-105406.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raia wa Ulaya , America na china inabidi kuwachunguza vizuri, sasa hivi Europe na America hali ni mbaya Zaidi, wanaambiwa kaeni ndani wanakuja na issue za freedom, inabidi kuwa very carefully airport kwa watu wanaokuja kutoka nchi hizo, hii ngoma ni ngumu.
 
Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae Vyakula na mahitaji majumbani mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
 
Hapa kwetu hua wanajitahidi kuficha taarifa km pyongyoung.,....muda utasema tu
 
Hii corona itakujakuwa janga la afrika, watu wengi sana watakufa.
Bob
There's a natural mystic
Blowing through the air
If you listen carefully now you will hear
This could be the first trumpet
Might as well be the last
Many more will have to suffer
Many more will have to die
Don't ask me why
Things are not the way they used to be
I won't tell no lie
WHY PREDICTING THIS? HATUTAKUFA NA CORONA HAITAINGIA TANZANIA
 
Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae makaburi mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
Wewe ushaandaa makaburi mangapi?
 
Kuna nchi fulani ya Afrika mashariki ikigundua uwepo wa Corona itaficha wala haitatangaza!
 
Kitu kinavuka boda namanga loh..
au kitatokea rombo!!!
Tuandae makaburi mapema maana hatuwezi kulivuka hili likiingia, ukizingatia Serikali yeneywe ya kikuda.
Huu ndio muda wa Mungu kujithibitisha ukuu wake kwetu vichwa ngumu
😂
Nakushangaa Sana!!
 
Back
Top Bottom