brAin cRacker
JF-Expert Member
- Jun 14, 2017
- 514
- 618
Ripoti zingine hazina mashiko
Kenya ipi!!
Watu wapo kama Midoli!
Ripoti zingine hazina mashiko
Kenya ipi!!
Watu wapo kama Midoli!
Kenya hii ambayo sisi tunaijua yenye watu walio na sura ngumu binti utadhani anapasua mawe
Most important thing is Matokeo ni hayo. Mkitaka tunaeza rudia hio Kura tuone matokeo. Asta la vista haters.
Utamtongoza vipi wakati huna hela, wakaa vijiweni!? 🤣 🤣 🤣Ha ha ha wakenya wanavituko sana sijawahi kumuona binti mkenya mrembo hata lupita na ubora wake huko marekani siwezi kumtongoza,
We jua hilo, hela siyo kila kituUtamtongoza vipi wakati huna hela, wakaa vijiweni!?
The fact is huwezi, ata yeye hawezi kukuangalia mara mbili mbili, coz she ain't your type! 🤣 🤣 🤣We jua hilo, hela siyo kila kitu
Fact! She ain't my type, you got my point...mwanamke ana sura ya babu yake movie anazoweza kucheza vizuri ni za utumwa na manyanyaso kwa sababu ndio zinazomfanania na appearance yakeThe fact is huwezi, ata yeye hawezi kukuangalia mara mbili mbili, coz she ain't your type!
Huyo mwenye sura ya babu yake humfiki ata generation yenyu yote mjichanganye, tena bado. Sura ngumu life ya kishua, huyo wako wa sura laini, amekunywa chai kweli??? 😂 😂 😂 😂 😂She ain't my type either, mwanamke ana sura ya babu yake movie anazoweza kucheza vizuri ni za utumwa na manyanyaso kwa sababu ndio zinazomfanania na appearance yake
Hizo filamu zake zote level ya Hollywood. Nionyeshe mmoja kutoka Bongo anayefika level yake dadeq! 🤣 🤣 🤣 Acha kuongea utopolo kwa watu usiowafikia!Fact! She ain't my type, you got my point...mwanamke ana sura ya babu yake movie anazoweza kucheza vizuri ni za utumwa na manyanyaso kwa sababu ndio zinazomfanania na appearance yake
Usinilinganishe mimi na yeye watu wawili tofauti...mimi nakupa fact wewe una ni attack hata hunijuiHizo filamu zake zote level ya Hollywood. Nionyeshe mmoja kutoka Bongo anayefika level yake dadeq! Acha kuongea utopolo kwa watu usiowafikia!