Kenya: Comment Section from a Youtube Video is killing me with laughter

kadoda11

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
21,525
2,000
there is this video in youtube talking about top 10 african countries with most handsome men whereby the producer of the video has positioned tanzania in number 7 and kenya in number 4.

but some people were not satisfied with kenya picking number 4 and their comments are so hilarious.

video
 
The Wolf

JF-Expert Member
Sep 10, 2013
7,674
2,000
Ha ha ha wakenya wanavituko sana sijawahi kumuona binti mkenya mrembo hata lupita na ubora wake huko marekani siwezi kumtongoza,
 
mzado

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
925
1,000
there is this video in youtube talking about top 10 african countries with most handsome men whereby the producer of the video has positioned tanzania in number 7 and kenya in number 4.

but some people were not satisfied with kenya picking number 4 and their comments are so hilarious.

video
Oky mm sijui lkn huu utandawazi unatuletea competitions ambazo nn bt fu*k it you people haya maisha na ss ni ndugu ex choose ma French
 
wise123

JF-Expert Member
Apr 8, 2017
1,369
2,000
Kenya na Nigeria mnadeserve kuwa labda 70/71 out of 100 kweli mna upungufu wa handsome huo ndo ukweli mnafaa muanze kujichanganya na waethiopia, wasomali, watz , wanyarwanda at list generation inayokuja itakuwa na mvuto kidogo coz mna mashauzi alafu sura ngumuuuuu
 
HR 666

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
3,947
2,000
there is this video in youtube talking about top 10 african countries with most handsome men whereby the producer of the video has positioned tanzania in number 7 and kenya in number 4.

but some people were not satisfied with kenya picking number 4 and their comments are so hilarious.

video
Bob una wa promote wanaume wenzako kwamba ni ma hb ww jogoo hapandi mtungi nini?
 
jozzeva

JF-Expert Member
Oct 27, 2012
2,201
2,000
Mtoto wa kiume hasifiwi uzuri nyie..fanyeni kazi waacheni hao kina onyango waongoze tu.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom