Bantugbro
JF-Expert Member
- Feb 22, 2009
- 4,476
- 4,250
Mkuu Massaiboi
Tafadhali acha inferiority complex zako .. Kwa taarifa yako humu jamvini (JF) kuna wabongo wengi tu wanaofanya kazi kwenye Stock Exchanges na wala sio hiyo ya NSE au DSE...ound: kwa hiyo elewa kuwa hatuna nia ya kufundishwa jinsi ya kuuza HISA, hapa tunajadili UCHUMI!
Tunataka kufahamu kiini cha contradictions kati ya maelezo ya Mzee Shirima (tafuta linki ya hiyo article utaona) na yale bw. Naikumi. Tumegundua kuwa KQ wanataka kuendelea kuitawala PW(Strategically) ili isiwe na nguvu ya kujiamulia mambo kwa mfano kuanza route za mbali ambazo ndio profitable kwao kama Jorbug, Harare, kinshasa nakadhalika.
Ni wazi kuwa PW wakianza route za mbali wata-cannibalize huduma ambazo tayari zinatolewa na KQ kwa msaada wa KQ (wao kama shareholders) na kuna hatari KQ wataanza kupata hasara katika hizo routes kutokana na ushindani wa PW (i.e., huduma bora na efficiency) ndio maana huko nyuma kuna posti ilisema KQ sasa hivi wanajikuta katika situation ijulikanayo Kiuchumi kama Prisoner's Dilemma
Mkuu pia nakuomba upunguze Jazba, halafu ombi lako la-kufunga hii thread sidhani kama wakuu wengi wataafikiana na wewe!, thread hii itakufa kwa natural death kama nyingine zilizopita na ikiwezekana hapo mbeleni ita-ressurect kiNazareti....