Kenya Airways ni Bogus!!!

Kenya Airways ni Bogus!!!

KQ ilikua inapeleka ndege chovu Entebbe kama hizi inazoleta Dar. Musevini alipopelekewa ripoti alianzisha Air Uganda. Kagame nae hivyo hivyo. Wote hawa walichukua maamuzi tena sio magumu. sasa hv wako hewani. Tukubali serikali ya ccm haina maamuzi

Jamani mbona atcl yetu ipo? Sema tu inachechemea.
Ccm oyeee
 
Hawa KQ Ni Ma.vi kabisa, jamaa yangu toka jumapili hajapata begi lake ambalo lina nguo za kubadilisha huku wao wanaruka ruka Tu. Hivi serikali iliwapaje leseni hawa manyang'au? Their standards are too low, fukuza hapa nchini
 
Hawa KQ Ni Ma.vi kabisa, jamaa yangu toka jumapili hajapata begi lake ambalo lina nguo za kubadilisha huku wao wanaruka ruka Tu. Hivi serikali iliwapaje leseni hawa manyang'au? Their standards are too low, fukuza hapa nchini

Sasa si alitaka tileti cheap? mwambie avumilie kwani ndiyo matokeo, kama vipu next time asafiri na Emirates au Qatar.
 
that mean wakenya by "individual" ni majinga sana mara wamwonapo musungu wana tetemeka then wako fast kukejeli tz gov't kwamba inakumbatia westerners,wakati hii sumu ya kupenda umagharibi imewaingia mpaka kwa wakenya mmojammoja kufikia kudharau weusi wenzao, whatshitz
 
Kwa kujibu hizo hoja nyingine za upendeleo kuh Wazungu, ukweli ni kwamba Wazungu always rule in East Africa, and elsewhere in Africa, for obvious reasons.
 
Oya nyie waswahili, nilivyosema hapo awali kupoteza mabegi ni jambo la kawaida, kama wewe ni msafiri wa kila wakati najua unaelewa haya. Kusema kuwa hii shida inakumba KQ peke yake ni kuwa mjinga na muongo. Aliyepoteza mabegi yake awe na subira na atayapata mabegi yake, hakusaidii kitu kuwatukana wa Kenya ama nchi yao, besides haukulazimishwa na mtu ku book KQ, you had other options.
 
Kwenye air transort miss allocation ya mizigo ni kawaida kuwa na subira utaipata.BA ni shirika kongwe ila pia hayo huwa yanatokea.Ni changamoto za kazi tu naaamini kazi yako pia inazo za kwake na tusilaumu saaaana
 
Mwanzo nilikuwa natumia KQ nikabadili SAA mambo yaleyale. Ila afadhali kidogo SAA


hivi kuna watu bado wanapanda KQ, nawashauri achaneni nao , hawa jamaa safari hata ikiwa ndefu kuna wakati wanaleta ndege haina space wala huwezi kukaa hata kulala comfortable. nawashaurini pandeni mashirika haya-
1. Qatar
2. Emirates
3. Swiss
4.klm/THAI/
5. BA kama ipo
6. saa sio wabaya kama kenya
7. EThiopia ingawa ni very disorganised ukifika katika uwanja wao, ila ukipanda wakaondoka hawabanii ndege, unapata kitu kizuri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom