Kenya Airways ni Bogus!!!

Kenya Airways ni Bogus!!!

TANZANIA, TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE...

images


1, Tanzania Tanzania,
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania,
Jina lako ni tamu sana,
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mama wee,
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.

images


2. Tanzania Tanzania,
Ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu,
Biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi,
Mambo mema ya kwetu kabisa,
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.
images



3.Tanzania Tanzania,
Watu wako ni wema sana,
Nchi nyingi zakuota,
Nuru yako hakuna tena,
Na wageni wakukimbilia,
Ngome yako imara kweli wee,
Tanzania Tanzania
Heri yako kwa mataifa.
images



4. Nchi nzuri Tanzania,
Karibu wasio kwao,
Wenye shida na taabu,
Kukimbizwa na walowezi,
Tanzania yawakaribisha,
Mpigane kuime chema wee,
Yanzania Tanzania
Mola awe nawe daima.

images

===
TANZANIA NCHI YANGU ...NAKUPENDA TANZANIA
Nitakutangaza nchi yangu tanzania,nakupenda Tanzania nchi yangu Tanzani na najivuna kuwa mTanzania

images
 
Customer care yao sefuri unamsemesha mhudumu kavuta mdomoo..lakini kw mzungu meno yote nje. Afu hata zile long journey unabaniwa bia tatu tu. Ethiopian hadi raha ..full mi whiskey unajipimia
miafrika ndivyoo tulivyo..
 
TANZANIA, TANZANIA NAKUPENDA KWA MOYO WOTE...

images


1, Tanzania Tanzania,
Nakupenda kwa moyo wote,
Nchi yangu Tanzania,
Jina lako ni tamu sana,
Nilalapo nakuota wewe,
Niamkapo ni heri mama wee,
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.

images


2. Tanzania Tanzania,
Ninapokwenda safarini,
Kutazama maajabu,
Biashara nayo makazi,
Sitaweza kusahau mimi,
Mambo mema ya kwetu kabisa,
Tanzania Tanzania
Nakupenda kwa moyo wote.
images



3.Tanzania Tanzania,
Watu wako ni wema sana,
Nchi nyingi zakuota,
Nuru yako hakuna tena,
Na wageni wakukimbilia,
Ngome yako imara kweli wee,
Tanzania Tanzania
Heri yako kwa mataifa.
images



4. Nchi nzuri Tanzania,
Karibu wasio kwao,
Wenye shida na taabu,
Kukimbizwa na walowezi,
Tanzania yawakaribisha,
Mpigane kuime chema wee,
Yanzania Tanzania
Mola awe nawe daima.

images

===
TANZANIA NCHI YANGU ...NAKUPENDA TANZANIA
Nitakutangaza nchi yangu tanzania,nakupenda Tanzania nchi yangu Tanzani na najivuna kuwa mTanzania

images
hivi hizi ndege zipo kweli na muda sana..
 
...ATC tulifisadi wenyewe! TC zikawa zinabeba vigogo na ndugu zao; watoto wa mjomba, shangazi, na jamaa wa karibu bure!

...mali za shirika la ndege (TC) zikapewa jina lake rasmi kuwa hii ni MALI YA UMMA , kukawa hakuna mwenye uchungu na mali zetu watanzania...! " sasa tunaanza kulalamikia wezetu KQ' wakati shirika la ndege la kwetu tuliliteketeza wenyewe kwa mikono yetu, na midomo yetu wenyewe, tukajaza mitumbo yetu kwa faida ya waTz wachache wenye uchu na mali za umma...!
...Mh. Rais' "JK" ATCL iko wapa?

Kaka baelezee. tulianzabwote KQ na TC baada ya Afrika mashariki ya mwanzo.wenzetu wakaendeleza lao kwa manufaa YAO. sisi tukaua TC kwa uzembe wetu. Tukaingia ubia wa kijinga na SAA. kama vile hatujaenda shule. matokeo ni hasara kubwa isiyotajika. JK akajaribu kufufua TC kwa nia nzuri kabisa ila kwa bahati mbaya sana MD akawa mr. Mataka. kabla hajakabiziwa ofisi akanunua magari ya kifahari hata EL AL hawana. akawatuma wafanyakazi wakapime uniform China halafu wazisubiri zishonwe. na kweli ikawachukua wachina siku 17 kushona uniform za watu 48. Hii tu inaonyesha watu wanatumia makalio kufanya maamuzi. sasa tuko back to 1977 tuna tundege twa kukodi. KQ wana ndege kubwa 42 tusiwalaumu wakenya jamanii
 
Wakuu huwezi amini toka juzi ninakazi ya kushinda airport kusubiri flight ipi italeta mizigo yangu. Saa 8 na nusu mchana nimepata bag moja. Mawili yaliyobaki nimeambiwa nisubiri kesho. ndiyo natoka airport flight ya saa moja na robo haina bags zangu... niko very frustrated
 
KQ ndio zao kuacha mizigo nyuma inakera sana kama unakwenda mikoani utajuta,na kama ushafanya booking ya Fly ya mkoa basi hesabu hasara tu hapo
 
...atc tulifisadi wenyewe! Tc zikawa zinabeba vigogo na ndugu zao; watoto wa mjomba, shangazi, na jamaa wa karibu bure!

...mali za shirika la ndege (tc) zikapewa jina lake rasmi kuwa hii ni mali ya umma , kukawa hakuna mwenye uchungu na mali zetu watanzania...! " sasa tunaanza kulalamikia wezetu kq' wakati shirika la ndege la kwetu tuliliteketeza wenyewe kwa mikono yetu, na midomo yetu wenyewe, tukajaza mitumbo yetu kwa faida ya watz wachache wenye uchu na mali za umma...!
...mh. Rais' "jk" atcl iko wapa?

ulitaka wabebe mbwa ??hata ndugu nao ni watu mkuu swala una abiria 23 ndege ya watu 50 unaacha ndugu zenu kisa wako 6 ni ujinga..mbaya kama wako revenue na wakaachwa nakupakizwa ndugu hilo ni kosa kama ndege aijajaaa hata 20 weka uliza za wengine mkuu ....
 
Ndugu, lost luggage si jambo geni kwenye usafiri, wewe jaza fomu ulivyo agizwa kisha ungoje mikoba yako itakufikia. usionyeshe kuwa KQ ndio wanaopoteza ma begi ya watu kwenye airlines zote duniani, msiwe watu wa kulalamika kila saa.

Wanahaki ya kulalamika, kwani kutopata mzigo wako kwa wakati au ukiupata ukiwa umefunguliwa na wahuni ni dalili tosha za kuonesha kunauzembe bila kusahau poor customer service. Acha kutetea ujinga kisa wewe ni Mkenya na mizigo inapotelea Kenya kwa mantiki hiyo unataka kulinda uzembe wa wahusika.
 
Wakuu huwezi amini toka juzi ninakazi ya kushinda airport kusubiri flight ipi italeta mizigo yangu. Saa 8 na nusu mchana nimepata bag moja. Mawili yaliyobaki nimeambiwa nisubiri kesho. ndiyo natoka airport flight ya saa moja na robo haina bags zangu... niko very frustrated
Pole sana mkuu. I know that must be very frustrating. Najua ungekuwa mzungu hapo kwenye ofisi za KQ unshasikia "Sir" mara 100 na mabegi yako yote yangeshafika in time.
Pole sana
 
Wakuu huwezi amini toka juzi ninakazi ya kushinda airport kusubiri flight ipi italeta mizigo yangu. Saa 8 na nusu mchana nimepata bag moja. Mawili yaliyobaki nimeambiwa nisubiri kesho. ndiyo natoka airport flight ya saa moja na robo haina bags zangu... niko very frustrated
Pole sana mkuu kumbe siku hizi imekua namna hii nimesafiria KQ siku nyingi kidogo
 
Pole sana mkuu. I know that must be very frustrating. Najua ungekuwa mzungu hapo kwenye ofisi za KQ unshasikia "Sir" mara 100 na mabegi yako yote yangeshafika in time.
Pole sana
Halafu tuseme wazungu wabaguzi sasa hapo si tunabaguana wenyewe jamani.
 
Hata Tanzania ingekuwa na semblance ya international airline yenye status ya Kenya Airways, service yake ingekuwa hivyohivyo, na pengine mbaya zaidi. Acheni kusifia wenzenu, wengine wamesifia hata Ethiopian Airways, Air Tanzania na JKN Airport jee?
 
KQ na Ethiopía Airways ni mashirika ya hovyo kabisa, kusubiri au kupotelewa na mizigo ni jambo la kawaida kwa haya mashirika
 
Kwanini mizigo yetu mnaiacha nyuma, (Nairobi) wakati tuna connect flight?
Ukifika Dar unastukia mizigo haijafika! Ukiuliza hakuna anayekujibu sana sana utaambiwa hatujui jaza fomu njoo kesho.
Hakuna service ya kuitrace ipo wapi na kwanini haiku board kwenye flight waliyo kuconnect!
Siku utakayoipata unakuta mabag yalifunguliwa na baadhi ya vitu havionekani!
MNA
tatizo gani? nyie mnaimba pride of Africa and you are real shame of Africa!

Hiyo kitu ni kawaida, hata South African Airways nao ni hivyohivyo. Connection time ya flight yao kwenda Dar kutoka Jo'burg kama unatoka NY na South African Airways ni ndog sana, na wanashindwa kupakia mizigo yote kutokana na muda mdogo, kwa hiyo ukifika Dar utakuta mizigo yako haipo. Lkn wataiwasilisha na next flight yao kati ya Dar na Jo'burg bila matatizo, ila itabidi uifuate baadaye jioni
 
KQ na Ethiopía Airways ni mashirika ya hovyo kabisa, kusubiri au kupotelewa na mizigo ni jambo la kawaida kwa haya mashirika

KQ ilikua inapeleka ndege chovu Entebbe kama hizi inazoleta Dar. Musevini alipopelekewa ripoti alianzisha Air Uganda. Kagame nae hivyo hivyo. Wote hawa walichukua maamuzi tena sio magumu. sasa hv wako hewani. Tukubali serikali ya ccm haina maamuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom