Kenya Acquires Drones to fight al shabab terrorist and for regional security

once again some Tanzanian psycophants think they know what is best for Kenya military. All KDF procurement are advised on current and possible future threats and so far all new toys satisfy this logic. Back to the drone noise, besides the lightweight American Raven drone, Kenya has been shopping for the Israeli made Heron Drone (more capable UAS vehicle). when you talk of capabilities..it all narrows down to resources and military tactics or doctrines exploited by respective forces. When Kenya gets gunships....some low lifes screams their ass out, when we get drones...the same, when Kenya opts to up her airforce the same nonsense. Inferiority complex is a disorder, get checked up guys. And in any case, the hand thrown raven drone is mostly used in real time combat as an extra set of eyes and not deep search recon purposes a reserve of heron drones and the likes of predator drones. anyway this is what the raven drone is used for:
1) to identify enemy movement while in combat operation
2) prevent likelyhood of friendly fire through cordinate assault from different fronts esp in close contact ambushes eg surronding a small metropolis. (be advised to create the somali picture to understand better).
4) they are also cheap to service and operate
This maneno ati they are used to track Kony is gibberish nonsense....much capable drones with higher lift such as heron/predator drones were devised for such purposes, [RECON & MAPPING].
Lastly, stay out of KDF inventories and concentrate in modifying JWTZ doctrines to a sensible and a more modern outfit. Swam/mass deployments are so into the 80's plus your forces aint as many anyway.

Well said. Some sidekicks here criticise every move KDF makes. They do not know its technology that matters not like four decades ago where procuring a single katyusha multiple launch rocket was effective against idi amin. I want to know what weapons modern the jwtz has. That aside even armies need to be taught on modern technology. Kenya in africa apart from few let say four other countries has a very high modern capability which is unrivalled in the region.
 
You're right. But because the "war industry" of the US gains so much in selling weapons I don't think this will happen any time soon. What we need to do is to go the Chinese way. They have created several faculty in reputable university whose role is solely to deconstruct manufactured goods (as small as a button or as large as a concord) and reconstruct them using cheaper material and enhanced technology, for mass prodction. with these modification they are able to avoid the intellectual property claims from the first author/creator. If we wait for the US to give permission we could wait forever!

In otherwords " REVERSE ENGINEERING" what a good idea.
 
stop the blame game. Proxy war ya nani? Al-shabaab are not killing those we are fighting for but Kenyans UUwhi! Mind you kenya has always stood on the sidelines. I do not understand why people busy themselves picketing when kenya stages an incursion fighting a rag-tag milita, But when Uganda/AMISOM decides to do it people ignore. PS give us credit for once we have managed to relatively and effectively contain this loathsome "sawdust ceaser" that others has been fumbling with including the US.

Kibaridi

Congratulations for the good work
and I also extend my congratulations to the Kenya defense force (KDF) for the good job they are doing!

Happy now?
Get time to visit some of the links I suggested.
 
Uoga wa nini kaka?najua unadhani iyo nchi jirani ni tz.pole kaka tulia tz tayari inaunga mkono juhudi za kenya nchini somalia.pia usisahau kenya inaipenda tz sana upendo kwa kindugu. Ebu soma taarifa hiliyo hapa chini. Kikwete mwanaume kweli ccm juu juu zaidi
Nashukuru sana kwa kuonyesha uoga wako wa dhati dhidi ya JWTZ kwa kufurahia msaada wa kijeshi toka TZ!
 
once again some Tanzanian psycophants think they know what is best for Kenya military. All KDF procurement are advised on current and possible future threats and so far all new toys satisfy this logic. Back to the drone noise, besides the lightweight American Raven drone, Kenya has been shopping for the Israeli made Heron Drone (more capable UAS vehicle). when you talk of capabilities..it all narrows down to resources and military tactics or doctrines exploited by respective forces. When Kenya gets gunships....some low lifes screams their ass out, when we get drones...the same, when Kenya opts to up her airforce the same nonsense. Inferiority complex is a disorder, get checked up guys. And in any case, the hand thrown raven drone is mostly used in real time combat as an extra set of eyes and not deep search recon purposes a reserve of heron drones and the likes of predator drones. anyway this is what the raven drone is used for:
1) to identify enemy movement while in combat operation
2) prevent likelyhood of friendly fire through cordinate assault from different fronts esp in close contact ambushes eg surronding a small metropolis. (be advised to create the somali picture to understand better).
4) they are also cheap to service and operate
This maneno ati they are used to track Kony is gibberish nonsense....much capable drones with higher lift such as heron/predator drones were devised for such purposes, [RECON & MAPPING].
Lastly, stay out of KDF inventories and concentrate in modifying JWTZ doctrines to a sensible and a more modern outfit. Swam/mass deployments are so into the 80's plus your forces aint as many anyway.

Typically kenyans. You people need to grow up. Such an ass. What's wrong with tanzania backing up the operation? Besides we are like you bragging jus like women do.You dnt know anything about TPDF. Ask Kagame and Muzeni. They both went military school in Tanzania. Besides we have power to purchase all those arms you think its big deal on other side i think no onw should know what we have or we dnt. Tell kibaki to bring drama, and will show you whats warfare is.
 
What has Kenya achieved in Somalia so far ? I think nothing except getting US$ 41 million from USA . I believe they have already spend much more than that in this futile adventure.
Current USA interest in Africa is more pain for Africans - they only help people to kill each other. They have not started now but in 60s with killing of Lumumba and dissolve his body in acid, helping apatheid regime to opress Africans. These are enemy of Africans - they have not changed.
 
Walishindwa wanaoziunda hizo wakakimbia, mtaweza nyie vikaragosi mnaongoja handouts.
 
intthomas.jpg
blank.gif

Sgt.Thomas was a US Army Ranger, 1991-1997. He was squad leader on Chalk III -- Super Six Six. He roped in to the street corner by Olympic Hotel. At the time of the 1993 Mogadishu firefight, he was 27 years old.

Be on your toes.
You gotta remember, we were Rangers -- best-trained people in the world, and you are superior to any force there is. And this is what's drummed in your head. You can't go in there wondering -- well, I wonder if I'm better than that guy? You have to have absolute faith in your leaders, in your equipment...

Source: Us Rangers | Ambush in Mogadishu | FRONTLINE | PBS

That means running away.

Mabwana zenu wanaowapa drones walikimbia huko, nyie mmeingizwa kichwa kichwa halafu mnachekelea? mnyang'au ni watu wa ajabu sana. Fedha za kuwauza wale wawili watatu nyie mnachekelea watoto zenu wanakwenda kufa!
 
Typically kenyans. You people need to grow up. Such an ass. What's wrong with tanzania backing up the operation? Besides we are like you bragging jus like women do.You dnt know anything about TPDF. Ask Kagame and Muzeni. They both went military school in Tanzania. Besides we have power to purchase all those arms you think its big deal on other side i think no onw should know what we have or we dnt. Tell kibaki to bring drama, and will show you whats warfare is. Stupid kenyans. Sonsof bitches

so u have the audacity to call the likes of us sons of Bitches?!?! Be advised i can deginirate to a level so low you wont be able to raise your head. ''Just to satisfy your curiosity''. But for the courtsey of your mother n family please get a shawl n curl up. Stupid son of a witch!!!!!
 
once again some Tanzanian psycophants think they know what is best for Kenya military. All KDF procurement are advised on current and possible future threats and so far all new toys satisfy this logic. Back to the drone noise, besides the lightweight American Raven drone, Kenya has been shopping for the Israeli made Heron Drone (more capable UAS vehicle). when you talk of capabilities..it all narrows down to resources and military tactics or doctrines exploited by respective forces. When Kenya gets gunships....some low lifes screams their ass out, when we get drones...the same, when Kenya opts to up her airforce the same nonsense. Inferiority complex is a disorder, get checked up guys. And in any case, the hand thrown raven drone is mostly used in real time combat as an extra set of eyes and not deep search recon purposes a reserve of heron drones and the likes of predator drones. anyway this is what the raven drone is used for:
1) to identify enemy movement while in combat operation
2) prevent likelyhood of friendly fire through cordinate assault from different fronts esp in close contact ambushes eg surronding a small metropolis. (be advised to create the somali picture to understand better).
4) they are also cheap to service and operate
This maneno ati they are used to track Kony is gibberish nonsense....much capable drones with higher lift such as heron/predator drones were devised for such purposes, [RECON & MAPPING].
Lastly, stay out of KDF inventories and concentrate in modifying JWTZ doctrines to a sensible and a more modern outfit. Swam/mass deployments are so into the 80's plus your forces aint as many anyway.

Livefire habari kwanza, kama ukisoma vizuri nimesema hivyo vi-drone vinasaidia kuangalia majeshi au terrorist wako wapi [recon/scouting] kama unavyo sema. Sasa tatizo liko wapi? Kwani nani kasema humu kwamba drone hizo ni kama Predator zinazo beba mabomu ya hellfire! Au nani kasema vi-drone hivyo ni tishio kwa nchi za Africa Mashariki au kufikili Tanzania inaweza kutishwa na vijindege ambavyo vinaweza kuwa-brought down by a mere stone age anti aircraft guns; nani kasema KAF/KDF aina haki ya ku-modernise jeshi lenu!

Wewe unazungumzia mambo ya capabilities za heron/predator hivi unaweza kweli kulinganisha Raven drones ambazo unaweza kuzinyanyua kwa mkono na hazibebi air to ground missile wala bomb la aina yoyote ile! Nimeona umekuja juu hapa kuhusu comment yangu juu ya drones zilizo pelekwa Uganda! Labda nikuhulize swali, Je wewe ni a five star General wa jeshi la Uncle SAM mpaka ukajua kwa uhakika kwamba drones zilizo pelekwa Uganda haziusiki katika utafutaji majeshi ya KONY; kwa nini upendi watu wengine watoe maoni yao? Kuna mwana JF aliuliza kuhusu drones zilizo tolewa na Merikani kwa jeshi la Uganda mimi nikatoa maoni yangu, sasa imekuwa nongwa TENA!

Mleta post hii alikuwa na maana gani kuileta humu jamvini-kuna mahali amesema eti "KDF sasa itakuwa TISHIO kwa nchi jirani" - je huyu mtu anajua anacho zumgumza humu - who is afraid of a paper TIGER? eti "stay out of KDF inventories!!" nani kawaulizeni inventories la jeshi lenu? Kukosa kwenu kutafakali mambo mnaeleza kila kitu kilicho jikoni mwenu vingine vya kubuni tu! Hivi kweli kuna Mtanzania yeyote ambaye amewahi kuwa concern na jeshi lenu au kujali silaha zenu au kutangaza silaha za TANZANIA zinazo tumiwa na majeshi yetu au kujitapa kwamba tumenunua silaha fulani majirani zetu sasa watatukoma? Usifikili Jane's Defence books vina Intelligence na Analysis ya kweli kuhusu silaha na uwezo wa majeshi yote hapa duniani, wanayo andika humo ni script za maigizo ya HOLLYWOOD.

We unajuwa wapi doctrine za jeshi letu, unaleta mambo ya kubuni na propagada za nchi za magharibi; unaleta utani na a battle hardened jeshi (JWTZ) - nyie mumewahi kupigana wapi? mnatolewa kamasi na a rag tag al-shabaab alafu msivyo na aibu mnaomba nchi za jirani ziwasaidie kupigana a proxy WAR! - Livefire si unasema jeshi lenu ni moto wa kuotea mbali mbona mlikosa ubavu wa kujaribu jeshi la Uganda mlipo kuwa mnagombea kisiwa katika ziwa Victoria, mgefanya kosa kuwachokoza Uganda mkidhani eti "wangetumia swam/mass deployment tactics" na sijuhi term hii umeipata wapi? sina shaka umeisoma kwenye vitabu vilivyo andikwa kutoka nchi za magharibi kuhusu jeshi la UCHINA kwenye miaka ya 1940s/50, ila unacho sahau ni kwamba jeshi hilo lilitwanga Merikani katika vita vya KOREAmpaka wakashika adabu, bila umoja wa mataifa kuingilia kati sijuhi kungetokea nini? - Jibu unalo.

Livefire, mshukuru sana busara za Rais Kibaki ni binadamu anaye tafakali mambo kwa kina na hana papala! Hana majigambo na majivuno yasio na tija kama baadhi yenu walivyo - kama angefanya kosa na kuwachokoza Waganda saa hizi mgekuwa wakimbizi Sudan ya Kusini au Tanzania - Nimeyasema haya kukumbusha kwamba usiwe na tabia ya KUDHALAU majeshi ya jirani zako kwa kuwapachika majina ya kishenzi.

Mwisho labda nikukumbushe kwamba ukitaka kujuwa umahili wa jeshi la TANZANIA nenda kawaulize ma General wa jeshi la makaburu kuhusu vita vya Angola: Menu ilikuwa kama ifuatavyo:-
1) Fighter Pilots- Cubans/ Tanzanians na Angolans - marubani wa makaburu walichanganyikiwa walikuwa hawajuhi ndege za MiG23 na MiG21 zilikuwa zinahibuka kutoka wapi, hakuna cha wingman au angalia 12,3,6,9 O'Clock au radar viliweza kufua dafu. Mark you muda umekwisha pita tangu vita hiyo ipiganwe na vilikuwa vita vya kisayansi.
(2) Infantry ambayo ili-involve vifaru, magari ya deraya na artillery wahusika wakuu walikuwa ni - Cubans, Tanzanians, Angolans na nchi marafiki; makaburu na Savimbi walivua viatu na kukimbia miguu pekupeku wakiogapa milio ya Stalin ORGANS wakasahau G-55 zao.
(3) Manning Air Defence System - Tanzanians/Cubans/Angola.
Ninacho eleza hapa ni too brief, nikiogezea vita vya Msumbiji majeshi ya RENAMO yaliyokuwa yanasaidiwa na makaburu na Kenya ilikuwa inaunga mkono RENAMO lakini jeshi letu liliwashinda huko Msumbiji, kuna sakata la Seycells ambalo makaburu walivamia kisiwa hicho wakitaka Macham arudi madarakani kutoka aliko kuwa amekimbilia uhamishoni Kenya, walipo sikia majeshi ya Tanzania yanakuja mbona makaburu walifunga virago wakaondoka bila kuhaga! Eh, Livefire bado unafikili jeshi la TANZANIA linatumia a stone age tactics - mimi nakupa ushauri wa bure siku moja nenda pale ARUSHA wakati wa Bunge la EA limekaa, basi omba kukutana na mtoto wa the late J.Nyerere walao akupe somo kuhusu Artillery Engineering nione kama utaendelea na kejeli zako za kusema eti JWTZ "wanatumia swam/mass deployment tactics" kwenye medani za VITA. What a HARAKIRI statement!!!!
 
Bukyanagandi, aisee endelea kuchochea kuni manaake kwa hapa huyu jamaa Livefire kajichoma moto mwenyewe. Nadhani huko aliko hivi sasa anatubu!
 
Bukyanagandi...fella am doing great. Siku mob but we have to set decent ways of saying hallo. But first things first, dont attract a heat level on your collar when its obvious some stupid arrogant Tanzanians get the bloated feel whenever Kenya is mentioned. I never thought the lock was on you but i still can do with it:D:D. The topic contributor brought this piece of intel to share knowlegde on latest devts but some crappy dimwit starts to discredit the info with screaming ridicule undertones. First of all, dont yap that Kenya leaks this intel voluntarily, white house did and somehow all our inventories are always snooped by the British/USA before even the deal is finalised. explains why some cargo come via Ethiopia nawadays, (u are smart to know USA can trail anything, read thru the lines).
Talking about the old age wheelbarrow war, theres nothing impressive to talk about the Kagera war. About your inventories, rest assured all facets of JWTZ are always mapped to the last grenade or hardware....no weapon coming to dat country of yours goes unchecked, from ships to unfamiliar military planes....and this is basically what entails part of KDF war games and it is what advises any procurements.
Again....anyone who talks nasty about Kenya should actually be ready to see me poop on TZ or JWTZ for that matter, its not personal, i just have zero tolerance to crazy people and you can cut your thumbs n do the watching or the reading for dat matter or whatever.lol.
I am not with uncle SaM intelligensia outfit and you are pretty smart to know that.
If you think KDF has done a poor job i sincerely pray for the brains with such polluted algorithims to be redeemed. Alshabaab flees everytime KDF cruisers steams on, actually the resistance has been degrarded to an extent KDF are having a field trip. Afterall sector II has been captured successfully with Kismayu as the last bastion and it will fall. Its time to milk this UN cashcow in the meantime.

All those wars i will tell my son, RENAMO n the others, u employ swam deployment tactics, not changing a word. Kenyans with a lean force of only 4000 soldiers are really doing great vis a vis the area covered so far.
 
Last edited by a moderator:
Bukyanagandi, aisee endelea kuchochea kuni manaake kwa hapa huyu jamaa Livefire kajichoma moto mwenyewe. Nadhani huko aliko hivi sasa anatubu!

Heshima yako mkuu, unajua nilikuwa nimenyamaza kwa muda mrefu nikifikili labda wamejifunza kitu nipunguze kuwasema; lakini wapi bwana - baadhi yao lakini si wote, naona majigambo yao yako pale pale - Leo nilikuwa na angalia CCTV (TV ya Kichina yenye makao makuu Shaghai China na branch yake Nairobi Kenya) jamaa walikuwawanazungumziauhamaji wa wanyama kutoka Serengeti National Park kwenda Masai Mara Game Reserve - mengi walio zungumza humo niya kutunga tu hata video crip zote zilipigwa Serengeti na mto wa MARA TANZANIA! Wanatumia kuwepo kituo cha television ya CCTV Nairobi kuwalaghai watalii na kuikandia TANZANIA! Ilionyesha wazi wazi hawana nia thabiti ya kushirikiana na sisi, nategemea kutuma malalamiko yangu MAKAO makuu ya CCTV na Serikali yao, wanapashwa kuwa wangalifu na kampeini chafu. Labda niongeze kitu kwamba Livefire hana neno we sema tu ukisema nchi yake naye anatafuta njia ya kuitetea at all cost, lakini wengine wanakuja na matusi live kabisa.
 
wale wapanga vita wenyewe wa kenya(military tacticians) wanafahamu yafuatayo kuhusu tz.....,
kuna natural barrier inayoifanya tanzania iwe na advantage militarly over kenya FOREVER.., slopes of mt.kilimanjaro hadi usambara tanga unaweka air cushion, safu yote hiyo ikiwekwa AAMs au SAMs(anti aircraft missiles au surface to air missiles respectively) hakuna fighter jet itaruka 4mts above sea level kutoka kenya keeping in mind we have the most modern radar system that is unmatched in east and central africa.., which can pick up and pinpoint a missile to a target in a fraction of a second(using super fast computers)...,

pemba is also stategic, from tht perspective i think u get a picture tht u are literally surrounded...., kwenye zile slopes, the air defence command can mount launch pads for ballistic missiles i.e.stellas which could bring nairobi a millenium back in a matter of hours, one after every two minutes from various pads along the slopes...., mombasa and kisumu are well within range of the lethal stellas

haya mambo military strategists wa kenya wanayajua vzr sana ila nyie wakenya mnaojifunza vita kwenye internet mnaishia kujisifia na drones 8 ambazo hazina uwezo wa kua armed
 
hahahahahahahaha........ sijacheka namna this for a very long time. Strategist; hivi wewe wataka kusema mtavisha mt. Kilimanjaro air to air missiles? Really funny!!!! I ignore your thesis henceforth.
 
nadhani mngewashkuru tu wamarekani kwa kuwapa hizo drones, lakn usijisifie kwamba majirani zenu tutawakoma, its absurd! 8 unarmed drones a threat!! lame analysis!
 
nadhani mngewashkuru tu wamarekani kwa kuwapa hizo drones, lakn usijisifie kwamba majirani zenu tutawakoma, its absurd! 8 unarmed drones a threat!! lame analysis!

wewe lala tu, kama unaongea juu ya ballistic missiles i presume your seniors would have beaten you to pulp....you are indeed a funny one!!!!!
 
hahahahahahahaha........ sijacheka namna this for a very long time. Strategist; hivi wewe wataka kusema mtavisha mt. Kilimanjaro air to air missiles? Really funny!!!! I ignore your thesis henceforth.
Kuna mahali nimekuandikia air to air missile?? Umelewa chang'aa? Ant aircraft missile battery is from land brother, well effective when camouflaged, can be launched from a specialized vehicle or tank.., u need more schooling?
 
Back
Top Bottom