Kennedy Willison Juma asaini Simba miaka 2

Hizi akili sijui ni za wapi. Yaani unamwacha Mlinzi wa Kimataifa Juurko Murshid unakwenda kuangukia Kwa Kennedy Wilson. Hivi Simba mko serious kweli na mashindano ya CAF?
Hizi taarifa tuombe Mungu zisiwe za kweli.

Huyo Kennedy Juma hata kwa Bukaba hagusi hata yule dogo kabisa Vincent Costa anampiga gape kubwa sana.

Anyway muda utasema.
 
Binafsi sujawahi kumkubali huyo beki. Labda wammsajili ili akae benchi aue ksbisa kiwango chake kidogo alichonacho
 
Hizi akili sijui ni za wapi. Yaani unamwacha Mlinzi wa Kimataifa Juurko Murshid unakwenda kuangukia Kwa Kennedy Wilson. Hivi Simba mko serious kweli na mashindano ya CAF?
Hata ZANA COULIBALY ni mchezaji wa kimataifa na anategemea kuachwa... Usikariri.
 
Kwa hiyo Wachezaji wa kikosi cha pili ni wa aina ya Kennedy Wilson? Maana kwenye ulinzi Simba iko vizuri ukiacha kasoro chache hasa namba 2 ya Zana Coulibally. Mbona kuna wachezaji wazuri kama Mlipili. Kennedy Wilson anageuzwa hata na washambuliaji wa Lipuli. Nadhani mwaka huu huyu Kocha wa Simba anataka kutupiwa virago mapema.
Dah huu usajiri ni pendekezo la kocha kweli ? OK inawezekana lkn
 
Binafsi sujawahi kumkubali huyo beki. Labda wammsajili ili akae benchi aue ksbisa kiwango chake kidogo alichonacho
Uwezo na juhudi zake ndio zitampa namba sio ramli yako hii...
Ni timu gani wanacheza wote?
 
Tunawaona mnavyocompite na TP Mazembe,National Aliwashika ahaly,Esperance etc
1131048
 
Kwa hiyo Wachezaji wa kikosi cha pili ni wa aina ya Kennedy Wilson? Maana kwenye ulinzi Simba iko vizuri ukiacha kasoro chache hasa namba 2 ya Zana Coulibally. Mbona kuna wachezaji wazuri kama Mlipili. Kennedy Wilson anageuzwa hata na washambuliaji wa Lipuli. Nadhani mwaka huu huyu Kocha wa Simba anataka kutupiwa virago mapema.
Msamehe tu mkuu wamechanganyikiwa
 
Murshid kiwango kimeshuka,hajiamini,halafu angekua kiwango kinarizisha kocha angekua Ana mpanga Mara kwa Mara na huu usajiri Ni ripoti ya kocha
We utakuwa unavuta ugoro,ungesema mfumo labda unamkataa, huko Uganda national team anakinukisha first team
 
Back
Top Bottom