Hivi hawa wanyama wamewakosea nini binadamu kunasibishwa nao? Kwa nini isiwe tembo, simba au twiga? Watu wakiwa na makasiriko huita wenzao majina hayo kwa nini?
Wazungu wanatumia zaidi bitch (umbwa jike changudoa)inawezekana wakawa na changamoto ya kiroho, lakini ili hoja hii iwe na nguvu ni lazima tufahamu na kwenye jamii zisizokuwa za kiswahili je wanatumia wanyama haohao kutukana? kama jamii zisizo za kiswahili hazitatosha je jamii za nje ya Afrika wanafanya hivyo?
Kiziwi.....Umesahau Chura
Kuna yule mnyama pendwa toka Vatican nae anasakamwa sana na wasoma nyota.Wazungu wanatumia zaidi bitch (umbwa jike changudoa)
Wanakumbukwa zaidi kwa sababu tofauti,mbuzi kitoweo cha muda wote,Mbwa zake kelele kibwekabweka,kima yeye msumbufu akijidai janjanjanja,kenge mwenzangu na mie jeuri hata ubongo ukitoka nje ya fuvu bila kuona damu ikimwagika haelewi somo.Hivyo kawaida viumbe wa hivi lazima watukae midomoni.Hivi hawa wanyama wamewakosea nini binadamu kunasibishwa nao? Kwa nini isiwe tembo, simba au twiga? Watu wakiwa na makasiriko huita wenzao majina hayo kwa nini?
Huyo ni kiumbe wa duniani kama wengine hivyo naye anayo haki ya kuishiKuna yule mnyama pendwa toka Vatican nae anasakamwa sana na wasoma nyota.
Hapa naongelea haki ya kuliwa, nae ni kiumbe wa duniani anayo haki ya kuliwa.Huyo ni kiumbe wa duniani kama wengine hivyo naye anayo haki ya kuishi
Shangazi kaja?au Shangazi Mshangazi?Pia usisahau kiumbe aitwae shangazi!!!
Mbuzi Catholic?Kuna yule mnyama pendwa toka Vatican nae anasakamwa sana na wasoma nyota.
Yeah, fire chair!Mbuzi Catholic?