Kendrick Lamar amfunika Tupac

Kendrick Lamar amfunika Tupac

mwakani naolewa

Senior Member
Joined
Jul 25, 2024
Posts
148
Reaction score
428
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote
Screenshot 2024-08-12 092205.png
 
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote View attachment 3067539
Wakati wa Tupac hapakuwa na Youtube, hakuna wa kuvunja record halisi za Tupac.
 
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote View attachment 3067539
Umeandika ujinga tu.
 
Yaani huyo amepata platforms za YouTube, itunes, insta, Whatsapp, TikTok, radios, tv nk. Ma men Pac ilikuwa ni radio na sold cassettes or CDs dadeki.
 
Daah labda Tupac wa huku kwetu mtaani yule mwamba ukisikiliza nyimbo zake leo hii tu utashangaa jinsi alivyokua anaweka vile vizazi vya dhahabu mngeviacha aisee..
Pac,Bob Marley na Jackson walikua na vipaji vya music na hata kushindanisha wanamuziki wa karne hao ndio walipitishwa..vijana wa Pac wale wakina Idd amin sijui wapo mbali kwa huyo uliemtaja..
 
Technology ilikuwepo enzi za tupac miaka 27+ iliyopita ni tofauti na sasa, sahivi platform kibao, Tupac bado ni mwamba
 
Yaani hapa not like us hapa hit em up..
Masihara hayo, ile hit em up ni hatari, lile biti tu ni habari nyingine, hapa linagonga kichwani.. halafu pac anaanza kiintro cha kumchana big kisha verse ya kwanza, cheki ile energy sikiliza ile flow, not like us inaonekana ni ya kiwaki, haiko daraja hilo mkuu.
 
Rapa kutoka marekani Kendrick Lamar amevunja rekodi iliyowekwa na marehemu Tupac kupitia wimbo wake wa (not like us) . wimbo wa Tupac Shakur (Hit em up) ulikua ndio wimbo bora wa DISS TRACK kwa muda wote ulioskilizwa, Lamar amevunna rekodi hiyo ndsni ys miezi mitatu tamgu kuachiwa kwa nyimbo yake ukiwa na jumla ya wasikilizaji zaidi ya Milioni 647 na kua bora muda wote View attachment 3067539
Hip hop imekufa sababu wanamuziki wa hip hop wa miaka hii waneshindwa kufikia viwango vya hip hop ya 90s eti imeangaliwa na watu kadhaa kwa siku tatu sasa utajuaje kama nyimbo ni kali bila kuiangalia?lazima watu waiangalie ili wajue ni kali au miyeyusho so kuangaliwa na watu wengi siyo issue ya kuifanya iwe Diss truck kali zaidi ya hit them up
 
Yaani hapa not like us hapa hit em up..
Masihara hayo, ile hit em up ni hatari, lile biti tu ni habari nyingine, hapa linagonga kichwani.. halafu pac anaanza kiintro cha kumchana big kisha verse ya kwanza, cheki ile energy sikiliza ile flow, not like us inaonekana ni ya kiwaki, haiko daraja hilo mkuu.
Yan hakuna record label iliwah kutokea kama death row records na digital undergrounds na studio ya dre na masta p na hakuna kama hitemup yan hata mtu atoe dis track leo sasaivi ni itapigwa chini na hitemup up
 
Back
Top Bottom