shahid365
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 517
- 415
AEDefine American Education PLEASE!
AEDefine American Education PLEASE!
You are smart, very smart! Matter of fact you are genius!
Mkuu ni ya kwel haya?Ncha Kali tatizo madawa ya kulevya, mabangi. Hata Dina Mario's amemshindwa ncha Kali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said mkuu,kwa upande wangu sijaona wakuvaa viatu vya Ruge!
We nan kwan?hii naijua ni nafasi yangu ,au nyie mtaniletea mizengwe?
Huyu ndege ana radio mwanza Jembe ni jembe na club kubwa sanaSawa Mkuu....kwaiyo uyo Ncha ni mtangazaji wa clouds ama
Tatizo hajawahi anzisha kitu chake mwenyewe ndo hapo hio exposure yake inapokua haina tija..yani yeye amekua mtu wa kuajiriwa sawa pesa nyingi analipwa ila tofauti yake na marehemu yeye aliweza anzia na kitu from a scratchUliza kampuni za Telcom jamaa anakula sh ngapi,Bsc In Computer Science Marekani.Hajawahi kuomba kazi kampuni zote za Telcom zinampandia Dau na kumbembeleza.Huyu jamaa ana exposure kubwa kuliko hata Ruge ,sema si mtu media,ila waulize watu wa Telcom Industry watakwambia.
JF kuna waropokaji wengi sana mzee baba halafu wanajifanya wanajua kila kitu.hawa vijana imebidi tukae kimya tu.. twissa watu tumekua tunamjua.. wadogo zake kina gwamaka tumecheza nao.. tunajua uhalisia.. ila humu watu wamajifanya wanamjua kwa uongo...
twissa degree ya computer science kasoma chuo gani..
twissa amesoma marketing chuo cha kawaida sana kwa level ya marekani..tuseme kama teku kwa tanzania au st john ..kinaitwa franklin university.. kipo ohio... ila humu tunaaminishwa mengine...
Man you nailed it!!! Keep it upNiambie mshua!
Twissa was a telecom marketing executive....He left when his marketing powers were going to zero!
He has no powers anymore!
Kusaga wont take him sababu ana tamaa sana unlike Ruge!
There will be clash of personalities!
Ruge alikua anapenda kazi,hakua na mitamaa ya kumiliki mihela Bill Gates' style!
Ruge made Kusaga rich beyond standards!
Twissa can never do that,he's too greedy to allow that!
Ncha was head of creative department, na amekuzwa na jamaa all in all Ncha anadeserve pakubwa sanaa kuchukua ile nafasiWalimpiga fitna Ncha Kali tu. Jamaa angeweza kuvaa viatu vya Ruge vizuri tu. Ila mafahali wawili hawakai zizi moja.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tukumbuke jamaa alikuwa na bachelor ya FinanceUzuri mwingine wa Ruge alijenga mifumo pale clouds.
Hakuwa mchoyo wa kugroom watu.
Lipo tatizo lilitokea clouds juu ya maslahi ya ruge Toka kwa ndugu zake Joseph kina Sheba na Andrew. Hili lilimtikisa ruge na kupelekea Joseph kuanzisha wasafi media.
CMG wamepoteza asset. Siri kubwa ya ruge kuwa na kipaji na akili kubwa ni alikuwa anasoma Sana vitabu vya maana. Journals. Ndio maana hata kujenga controls clouds mfano za finance haikuwa kazi ya kumleta muhasibu no yet mwenyewe alielewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Miss T baby!!!! Ila Ncha ni kichwaAliajiriwa kama meneja uzalishaji ila alikuwa mtangazaji baada ya siku moja kucover nafasi ya tayanah katika xxl
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa ndio ulipoharibu, umemuoverrate sana Twissa na kumunderrate sana Ruge.wasingeandika huu upuuzi.
kuna comment unasoma, unaishia kucheka tu.hawa vijana imebidi tukae kimya tu.. twissa watu tumekua tunamjua.. wadogo zake kina gwamaka tumecheza nao.. tunajua uhalisia.. ila humu watu wamajifanya wanamjua kwa uongo...
twissa degree ya computer science kasoma chuo gani..
twissa amesoma marketing chuo cha kawaida sana kwa level ya marekani..tuseme kama teku kwa tanzania au st john ..kinaitwa franklin university.. kipo ohio... ila humu tunaaminishwa mengine...
Yai la shaffi a.k.a underdog nila kuunga unga mno afazali hata milad ayo .seb
seba maganga? ataaaa bora shafii...
Taarifa za brela zinaonyesha umiliki wa clouds uko hivi:narudia tena ruge alikuwa halipwi mshahara kama waajiriwa wengine.. nenda brella angalia wamiliki wa clouds... ni nani na nani na nani
Ncha kashindwa na D. Marioz ataiweza Klauzz. RIP Muongoza njiaNcha was head of creative department, na amekuzwa na jamaa all in all Ncha anadeserve pakubwa sanaa kuchukua ile nafasi
Sent using Jamii Forums mobile app