Kelvin Twissa anaweza kuvaa viatu vya Ruge

Uliza kampuni za Telcom jamaa anakula sh ngapi,Bsc In Computer Science Marekani.Hajawahi kuomba kazi kampuni zote za Telcom zinampandia Dau na kumbembeleza.Huyu jamaa ana exposure kubwa kuliko hata Ruge ,sema si mtu media,ila waulize watu wa Telcom Industry watakwambia.
Tatizo hajawahi anzisha kitu chake mwenyewe ndo hapo hio exposure yake inapokua haina tija..yani yeye amekua mtu wa kuajiriwa sawa pesa nyingi analipwa ila tofauti yake na marehemu yeye aliweza anzia na kitu from a scratch
 
hawa vijana imebidi tukae kimya tu.. twissa watu tumekua tunamjua.. wadogo zake kina gwamaka tumecheza nao.. tunajua uhalisia.. ila humu watu wamajifanya wanamjua kwa uongo...

twissa degree ya computer science kasoma chuo gani..

twissa amesoma marketing chuo cha kawaida sana kwa level ya marekani..tuseme kama teku kwa tanzania au st john ..kinaitwa franklin university.. kipo ohio... ila humu tunaaminishwa mengine...
JF kuna waropokaji wengi sana mzee baba halafu wanajifanya wanajua kila kitu.
 
Niambie mshua!

Twissa was a telecom marketing executive....He left when his marketing powers were going to zero!

He has no powers anymore!

Kusaga wont take him sababu ana tamaa sana unlike Ruge!

There will be clash of personalities!

Ruge alikua anapenda kazi,hakua na mitamaa ya kumiliki mihela Bill Gates' style!

Ruge made Kusaga rich beyond standards!

Twissa can never do that,he's too greedy to allow that!
Man you nailed it!!! Keep it up

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzuri mwingine wa Ruge alijenga mifumo pale clouds.
Hakuwa mchoyo wa kugroom watu.

Lipo tatizo lilitokea clouds juu ya maslahi ya ruge Toka kwa ndugu zake Joseph kina Sheba na Andrew. Hili lilimtikisa ruge na kupelekea Joseph kuanzisha wasafi media.

CMG wamepoteza asset. Siri kubwa ya ruge kuwa na kipaji na akili kubwa ni alikuwa anasoma Sana vitabu vya maana. Journals. Ndio maana hata kujenga controls clouds mfano za finance haikuwa kazi ya kumleta muhasibu no yet mwenyewe alielewa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ila tukumbuke jamaa alikuwa na bachelor ya Finance

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hawa vijana imebidi tukae kimya tu.. twissa watu tumekua tunamjua.. wadogo zake kina gwamaka tumecheza nao.. tunajua uhalisia.. ila humu watu wamajifanya wanamjua kwa uongo...

twissa degree ya computer science kasoma chuo gani..

twissa amesoma marketing chuo cha kawaida sana kwa level ya marekani..tuseme kama teku kwa tanzania au st john ..kinaitwa franklin university.. kipo ohio... ila humu tunaaminishwa mengine...
:D kuna comment unasoma, unaishia kucheka tu.
 
Back
Top Bottom