Kelvin Twissa anaweza kuvaa viatu vya Ruge

twissa amezoea mishahara.. hajazoea faida na hasara...

ruge kaanza clouds kwenye kiti cha plastiki town.. ka room kama store... na ruge sio mtu wa mishahara ndio maana hajawai kuajiriwa popote maishani mwake... yeye ni business partner... huku twissa ameishi maisha ya kuajiriwa na kupata mshahara maisha yake yote tunayomsikia sikia..

hajawai kuikuza kampuni yeyote from scratch
 
Niambie mshua!

Twissa was a telecom marketing executive....He left when his marketing powers were going to zero!

He has no powers anymore!

Kusaga wont take him sababu ana tamaa sana unlike Ruge!

There will be clash of personalities!

Ruge alikua anapenda kazi,hakua na mitamaa ya kumiliki mihela Bill Gates' style!

Ruge made Kusaga rich beyond standards!

Twissa can never do that,he's too greedy to allow that!
 
Back
Top Bottom