Alikuwa meneja Vodacom
Itakuja tu na yeye ni product ya American education
Hili ni tatizo letu sisi ngozi nyeusi,sijajua kwa nini?.nmejifunza kitu hapa,makampuni mengi ya kibongo hayana succession plan,haiwezekani mtu mmoja awe afe hafu et kila kitu kitikisike
Acheni masihala yaani Twisa ache Vodacom ,aje CMG yaani hata wewe ungekuwa Twisa huwezi acha shavu la Vodacom.
Haitoshi hiyoItakuja tu na yeye ni product ya American education
Niambie mshua!
Define American Education PLEASE!Itakuja tu na yeye ni product ya American education