Kelele zote kwisha

Njaa mbaya sana. Unakuwa na juhudi kupiga kelele ukipata pakula una kuwa kimyaa..ndo nchi yetu ilivyo
Ni kweli kabisa hata kuku wakiwa bandani bila chakula watapiga kelele sana lakini ushawapelekea tu kimya kabisahapo ndo usemi wa mwanamalevya na mwanamalegeza unapotimia
 
Ukiwa mnafiki lazima sura ikomae,yaani he looks too old than is age.
 
JAMAA ALIKUWA ANATAFUTA KICK YA KUTOKEA.......HOPEFULLY, KAIPATA SASA ANAKULA MATAPISHI YAKE...
 
Halafu bahati mbaya sana katupwa Musoma.

Kule hawanaga maneno mengi...

Magufuli kamuweza sana huyu mtu
 
Dah maisha haya..asubir ukuu wa wilaya...ashukuru tu Lowassa hana roho kama ya m8... Aah tumeshamzika
 
mjini mipango hata uwe wa chadomo au nn unatargets zako mi naamini hivyo bro kula shavu mbele kwa mbele kumbuka kutatua kero za raia .aliteuliwa mbatia ubunge wewe kada usteuliwe kisa?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…