kilimasera
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 3,068
- 277
Simuungi mkono: baba enock, mamzalendo wala Eng mayeye, wanafunzi wanapaswa kusoma bila visingizio.
hata hili jambo nalo linahitaji kupelekwa Ikulu?!!...........
hata hili jambo nalo linahitaji kupelekwa Ikulu?!!...........
Hili swala lilitakiwa kumalizwa haraka na ofisi ya mtendaji kwa kushirikia na uongozi wa shule na sio kwenda IKULU. Ukiona hawamfanyi kitu mwenye hiyo gesti ujue tayari mlungula umepenyeshwa kwa uongozi wa shulehata hili jambo nalo linahitaji kupelekwa Ikulu?!!...........
madogo hawa bana..sasa vilio vya mihemuko gesti si ndo vingekuwa vinawapa stimu za kukokotoa magazijuto na kusolve simultaneous equations??? hawa vipi hawa