Da Asia
JF-Expert Member
- Sep 25, 2011
- 731
- 819
Queen Esther..
Mimi nashauri mpeleke Maombi yenu kwa mmiliki ex.Mh Membe. B,
Huyo ndie sahihi zaidi..
Peleke lalamiko lako ofisi ya serikali za mitaa. huku hutapata ufumbuzi
Queen Esther..
Mimi nashauri mpeleke Maombi yenu kwa mmiliki ex.Mh Membe. B,
Huyo ndie sahihi zaidi..
Endelea hivohivo mpaka nitakapokung'oa meno ndo utaacha ukorofi we subiri.We...mvuta bangi kuwa na heshima watu wazima wanapokuwa wanajadiliana mambo ya maana, nyambafu wewe.
Ng'ang'ania hapohapo halafu utaona.we...punguani heshima hainunuliwi dukani
DJ'sDJs......
Heri ya Mwaka mpya Mtumishi...
huo ushauri ndiyo ufumbuzi wenyewe. mi mwenyewe nashauri aende kwa balozi, mwenyekiti, kamati ya mazingira ya kata etc.Peleke lalamiko lako ofisi ya serikali za mitaa. huku hutapata ufumbuzi
Peleke lalamiko lako ofisi ya serikali za mitaa. huku hutapata ufumbuzi
Queen Esther kumbe we ni mtoto wa kishua? PM tafadhali tuyajenge kidogo!Habari za jioni GT's
Naandika waraka huu nikiwa mkazi wa eneo la Bahari Beach kulalamikia kelele za kila weekend au za masherehe ktk Hotel hii.
Yaani kila week end kuna Ma disco toto nk. Ma DJ wanapiga wanapayuka na kupiga ma taarabu nk yaani ni vurugu tu. Kama ujuavyo upepo nao unabeba hizo sauti yaani utafikiria wote tuko kwenye hizo sherehe. Kila wanachoongea na miziki inayoimbwa inaimbia kwenye nyumba zetu.
Huyu MMILIKI wa hii hotel tumemwomba mara nyingi atuondolee kelele hizi hataki. Serikali tusaidieni jamani. Uhuru gani huu Kama sio kukomoana kwa raha za watu wengine??? Kama uko maeneo ya Bahari Beach hadi Kunduchi naona utakuwa umenielewa. Tuungane KUKATAA haya makelele. Mtu huwezi kupumzika jamani!!!!!
Wahusika tusaidieni.
Queen Esther
Hata saivi kuna kelele
Nahisi kuna live band hapo