Wapi keki??
hahaha no pic
Kamaliza kula keki yake ndio anatuambia
Lingekuwa jukwaa la kikubwa ningeweka keki yenyewe
Heri ya mwaka mpya
Na kwako pia Mpwa wangu. Muzima ya afya kabisa weye
Mi mzima wa afya
huwezi kugoma kuila
Lingekuwa jukwaa la kikubwa ningeweka keki yenyewe
bila shaka atakuwa anaisemea hii keki
Naomba nikusalimu,Heri ya mwaka mpya!!!
Naam Nashukuru Mpwa, tuwazima tumevuka salama. Mungu ni mwema sana. Kwema kwako?