Du? Brother Keith Sweat humjui? Any way lets celebrate bothHuyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Storm is overWale wapenzi wa classic RnB music hasa miaka 1990s, kati ya hawa nguli nani ulimkubali zaidi?? Nafahamu wote walikuwa wakali na wenye vibao hatari sana
Baadhi ya nyimbo bora za Keith Sweat
1. Twisted
2. No body
3. How do you like it
4. Make it last forever
5. Why me Baby
6. I 'll give all my love to you
7. How deep is your love
8. Get up on it (ft. Kut Klose)
9. Its getting better etc
Baadhi ya nyimbo bora za R Kelly
1. Bump n Grind
2. Storm is over
3. Your body is calling
4. I believe I can fly
5. World's greatest
6. I Wish
7. if i can turn back the hand
8. Ignition
9. Same Girl etc
Lets go back to the times Guys
[emoji33][emoji33][emoji33]Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Joe Thomas alitikisa pia miaka ya 90s, hawa watu wamepotea kabisaMpaka leo sijaona mwanamusic solo artist wa rbn mkali kama Rkelly na Joe Thomas, kwa upande wa group kwangu mimi ni Boys 2 men
Pia No Body na How Do I like it aliyomshirikisha Left Eye bonge la track aiseeKeith sweat alitamba na hiyo twisted, Lakini Robert K ana hit nyingi
Pia No Body na How Do I like it aliyomshirikisha Left Eye bonge la track aisee
Keith Sweat namkubali sana ila Robert ni namba nyingine.
Na kukariri nyimbo kwa sana bila kasahau mambo ya dedication😁Miaka ile shule kulikuwa kulikuwa na lunch program basi likizo watu wanaenda kujikoki mpk nguo zifanane na huyo mwimbaji.
Old is shaba bwana.
We ndo hujui muziki mjomba, R kelly ni legendary wa R&B kwa level yako ya kuufahamu muziki but in real sense ni Keith Sweat legendary zaidi ingawa pia R Kelly ana hit nyingi na aneouga collabo na stars kibao kunogesha hits zake ktk variety ya radha.Huyo keith sweat ndio namsikia leo mkuu
Halafu uache kumlinganisha RnB Legendary R. Kelly aka Kwaya masta na wasanii wa ajabu ajabu wasiojulikana
Na kukariri nyimbo kwa sana bila kasahau mambo ya dedication😁
Rnb za 90's -2000yr nyingi ninazo bado nazisikiliza sana.