Keeping dry

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
keeping-dry.jpg
 
Sasa faida ya mwamvuli ni nini hapo, maana already wanaogelea humo humo
 
Sasa faida ya mwamvuli ni nini hapo, maana already wanaogelea humo humo

kwani unapokuwa dressing table kitu gani hasa unachodili nacho! ulishawahi kuona mtu anafanya make-up ya masaburi? mtu yupo tayari alowane sehemu nyingine lakini si reception bana.
 
Majuha! Wangekuwa weshalitoa gari kama wangesukuma kwa mikono miwili!
 
Hao nao labda wamechanjia kuwa vichwa vyao hakuwa na maji otherwise no point at all
 
sasa na hawa wajahidix wanapiga picha ili iweje? wakati hawatojitambua?
 
Majuha! Wangekuwa weshalitoa gari kama wangesukuma kwa mikono miwili!

umekiona ambacho wao hawakifirii, u r ryt wangesukuma kwa mikono miwili lingekuwa limetoka muda na wasingelowa sana zaidi...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom