joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Ndege zipi za kivita KDF wanazo zaidi ya F-5 ambazo ni sita pekee moja ilitunguliwa na Alshabaab. Hizi ndege zimezeeka sana, ni second generation na ni mbovu karibia zote, zikiruka zinatoa Moshi mwingi na kasi yake ni ndogo Sana.Mzee, yaani miaka yote hii bado hujachoka na hizi ligi? Hata kwenye misiba? Kando na ndege za kivita Kenya Airforce(KAF) wana ndege zingine za kijeshi, za transport. Kwa mfano tu, acha nikupe kionjo.Hizi C-27J Spartan TMTA(Tactical Military Transport Aircraft) wanazo tatu. Wanazo pia Habrin Y-12, Antonov-An28, Cessna 208 zile DHC-5 Buffalo za zamani pia. Kenya Airforce wana hadi Bombardier Dash8! Kwa ujumla KAF wana takriban ndege 29 za 'transport' na 'utility' tu, bila kuhesabu chopper na zile ndege zingine za kivita.
TPDF ni jeshi lilo na nidhamu sana, hauwezi wapata na vituko kama za kulala usiku badala ya kulinda doria ama kudhulumu wanawake/ kunajisi..Hehehehehe zungumzia kuhusu jeshi lenu pia. Wamebaka wanawake wa Congo na watoto wengi sana ndio maana waliharibiwa sura kwa mapanga by Congolese kids.
Hahaha! 😀 Pumba tupu. Alafu hili povu sio la kawaida. Unaumwa wapi? Tumbo?Ndege zipi za kivita KDF wanazo zaidi ya F-5 ambazo ni sita pekee moja ilitunguliwa na Alshabaab. Hizi ndege zimezeeka sana, ni second generation na ni mbovu karibia zote, zikiruka zinatoa Moshi mwingi na kasi yake ni ndogo Sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
hili povu la mwaka kweli...walibaka sana congo na kujiletea nadhara ya kupigwa mapangaTPDF ni jeshi lilo na nidhamu sana, hauwezi wapata na vituko kama za kulala usiku badala ya kulinda doria ama kudhulumu wanawake/ kunajisi..
Sifa za KDF ni kunajisi,wizi hadi wa bidhaa kama biskuti, uzembe na ujinga..
Kama wapo hapo mozambique, Ni muhimu Jeshi lao liwasimamie sababu wahana discipline...wataharibu badala ya kusaidia waadhiriwa
Kikosi hichi maalum kinajulikana kama DRU- disaster response unit na hua kazi yake ni ku kupambana na matokeo baada ya janga, mafunzo yao yanapitia kupambana na biological and chemical weapons na search and recovery , Ebola outbreak, Marburg epidemic, nuclear radiation exposure...etc, Yani hichi ndo kikosi hutumwa kukitokea apocalyptic level worst case scenario
UN haiwatambuiKimya kimya bila mbwembwe, wengine wakitoa hata mfuko wa unga kwa hawa wahanga inatangazwa kileleni mwa mlima Kilimanjaro huku wakijisifia donor country.
KDF walienda Mizambique kunajisi waadhiriwa..Takataka hata UN wanalitambua hiloUN haiwatambui
Mkuu unakosea sana. Sio sawa. StaarabikaHawa nyang'au wamewashindwa al shabaab sasa wamekimbilia msumbiji kujipendekeza? Ha ha ha kupenda mteremko na mijisifa ya kijinga.
Mkuu hivi unaamini ni kweli zile picha ni kweli kdf wanatoa msaada mozambique,mkenya si wa kumwamini hata kidogo,uongo na kujikweza ndio jadi yao,unaweza kukuta wakenya wanaochangia uzi wote awajala kutokana na njaa iliyo nchini mwao, waulize sasa km wamekula!UN haiwatambui
Tanzanian plane supplied aid and departed! You are nolonger there, wacha next update uangalie ni nchi gani bado zitakua huko!Hapo kwa heading inasema tropical cyclone idai, internationa deployed assets (as of 29th March 2019) . Mlipeleka ndege moja mkaangusha chakula na mkaondoka..... KDF wako on the ground kufanya kazi ngumu zaidi, Search and rescue and recovery, miili ya wafu lazima ipatikane popote ilipo na familia za walio pona wapewe mili wakazike---- hio tayari ni mojawepo ya kazi ngumu sana , Magonjwa nayo lazima yatibiwe, Na hilo eneo lote llililo haribiwa na maji lazima vyoo vijengwe na nyumba zirekebishwe, usafi ufanyike na miundombinu irekebishwe ili maisha yarudi kawaida, hii ni mission inaeza chukua zaidi ya miezi sita!!!!!!UN haiwatambui
Kama KDF haina transport capability tilipelekaje tani 50 za chakula kule South Sudan? Tulisafirishaje wakenya 3,000 kutoka South Sudan wakati vita vilianza???Hahahaha, eti KDF wanaweza kutoa msaada?, tuambieni wamepeleka kwa usafiri gani?, kama ni ndege yenye ukubwa gani na tani ngapi ilibeba?, kama ni barabara, walipitia wapi, kwasababu hatujaona msafara wa KDF Ukipata, hii habari ya kutoa box 10 za Blankets za kichina na kuonyesha mumetoa msaada hatutaki kusikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilitaka kujua msaada ambao KDF wametoa, thamani yake ni kiasi gani?, Kenya kwa sasa imefilisika haina uwezo wa kutoa msaada wowote wa maana zaidi ya kutaka publicity, kama njaa tu mumeshindwa kuimaliza, vipi mtaweza kutoa msaada mkubwa Kama Tanzania?, acheni kujipiga kifua, Shughulikieni njaa kwanzaKama KDF haina transport capability tilipelekaje tani 50 za chakula kule South Sudan? Tulisafirishaje wakenya 3,000 kutoka South Sudan wakati vita vilianza???
KDF evacuation in south Sudan 2013
Kati ya sisi na nyinyi ni nani ambaye anataka publicity, Hakuna nchi nyengine iliotangaza imepeleka madawa kiasi gani wala chakula kiasi ghani, Nyinyi Tanzania mmeanza leo na tayari kiburi kimefika kwa koo eti unataka sasa tuanze kulinganisha misaada iliotolewa na Ke Vs Tz na thamani yake...... What a low human bieng you are!Mimi nilitaka kujua msaada ambao KDF wametoa, thamani yake ni kiasi gani?, Kenya kwa sasa imefilisika haina uwezo wa kutoa msaada wowote wa maana zaidi ya kutaka publicity, kama njaa tu mumeshindwa kuimaliza, vipi mtaweza kutoa msaada mkubwa Kama Tanzania?, acheni kujipiga kifua, Shughulikieni njaa kwanza
Sent using Jamii Forums mobile app
hili povu la mwaka kweli...walibaka sana congo na kujiletea nadhara ya kupigwa mapanga