KCMC ni jipu!

Kcmc Imeoza mara baada ya serikali kutia mguu pale
 
Kozi yangu ni kama ile uliyochunguzwa tezidume kwa kidole pale KCMC (kwa kitaalamu inaitwa per rectal examination)...
Huko Muhimbili unakosema ulisoma, ulisomea kozi gani? Uwezo wako wa analysis ni duni to embarrassing levels.
Kinacholalamikiwa katika thread hii umekielewa? Wapi umeona nikisema wanafunzi wasijifunze toka kwa wagonjwa?
 
Madaktari wooooooooote unaowaona hapo, walianza hivyo hivyo kama wanafunzi. Bila madaktari wanafunzi wa leo hakuna madaktari bingwa wa kesho. Elewa hivyo. Daktari wa binadamu anajifunza kwa binadamu mgonjwa jinsi ya kutibu.

Mkuu

Huwezi kuweka zamu nzima kama shift ni wanafunzi watupu bila dakatari mwandamizi wa kuangalia mambo yanaenda vizuri!

Hicho ulichotoa sio sababu bado!
 
haahaha
umejibu kwa hisia kali kweli
 
Jamaa anataka kupotosha..
Kwanza kitu cha kwanza wanachofundisha kwenye clinical practice ni emergency... hakuna mwanafunzi atakaye chukua full history wakati mgonjwa yuko kwenye emergency...

Na kwa taarifa yake teaching hospital nyingi death rate yake ipo chini sababu ya wanafunzi wanachukua full history
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…