Mwanajamii
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 7,063
- 71
.Siwezi kuomba msamaha kapotolo.nimeacha swali mnisaidie kujibu,sio kwamba nimefikia conclusion moja kwa moja,ni maswali niliyokuwa nayo dhidi ya KCMC,but bado siamini sana katika nyoka..,kwa nini taasisi zote za afya ziwe na nembo hiyo?!?!ingawa imeandikwa but sitakubaliana na hilo kwa sasa...bado siamini ktk NYOKA kwa dunia ya leo,kipindi kile YES ilikuwa instructions kwa Musa toka kwa Mungu,je hata hizi membo mlizonazo(Muhimbili,kcmc etc) ni maagizo toka kwa Mungu muwe na nembo za nyoka?!!!we only know in surface leve,but in deep level ni vitu vingine!!
Licha ya hoja zake kuwa UDINI lakini thread yake inamuonyesha kiwango chake cha elimu.Huyu hakwenda kutibiwa, alikuwa na lake jambo, kitaalamu watu wa aina hii tunawaita 'ghost-clients', na ni mrongo sana huyu.
Nimepeleka wagonjwa wengi sn pale kcmc sijakutana na complications za dini!
Hasidi hana sababu.
.nenda kwenye pharmacy yoyote ile jaribu kumuuliza pharmacist aliyeko akupe uhusiano wa alama ya nyoka na matumizi yake katika nembo nyingi kwenye mahosipitali na viwanda vya madawa.utapata jibu zuri sana ndugu yangu.usiwe mwepesi kuamini mambo mabaya kwenye kila lililobaya kwako,superstition iz the timids of mind.kuna wanaowinda nyoka kama kitoweo bora kuliko vyote kwa upande wao,vipi hao utawaita wachawi au freemasons?! NO RESEACH NO WRITE TO SPEAK.
Kuna threads na maswali mengine yakitolewa hapa JF ukiyaona umeshamjua muanzishaji kiwango chake cha elimu.
.Kuna threads na maswali mengine yakitolewa hapa JF ukiyaona umeshamjua muanzishaji kiwango chake cha elimu.
Huyu hakwenda kutibiwa, alikuwa na lake jambo, kitaalamu watu wa aina hii tunawaita 'ghost-clients', na ni mrongo sana huyu.
Nimepeleka wagonjwa wengi sn pale kcmc sijakutana na complications za dini!
Hasidi hana sababu.
Hata kama alama ya nyoka ingekuwa ya dini ya kikiristo sidhani kama kuna tatizo endapo kwa dini hiyo ina maana yao. KCMC sio ya serikali ni kama vile unakwenda kutibiwa katika hosptali ya BAKWATA kisha unakutana na alama za lugha ya kiarabu au Muuguzi kavaa baibui na hijabu kisha unalalamika kwamba hospitali ina nembo ya kidini au kutoa maana nyingine kwa mavazi hayo..
Cheki na biblia kwanza uone maana ya hiyo picha. Muhimbili hospital napo nembo yake ina nyoka (jaribu ku-confirm)[/QUOT
HUYO SIO NYOKA NI MNYAMA FULANI HIVI ANATUMIKA KTK NEMBO ZA KITABIBU.NILIWAHI KUSOMA MAHALI NIMESAHAU TU MAANA.