KCMC, CUHAS best medical schools ever

KCMC, CUHAS best medical schools ever

Dr Adam Francis

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2011
Posts
464
Reaction score
687
Leo nataka niwashukuru kipekee walimu wangu walionipa heshima ya kuitwa daktari, chuo kikuu cha udaktari KCMC na CUHAS Bugando, hivi vyuo ni vyuo bora kabisa vya udaktari, nikiwa alumni wa vyuo hivi nasimama kama ushuhuda wa kazi nzuri wanayoifanya kwa maslahi ya nchi yetu.

Sitaweza kuacha kuwakumbuka na kutangaza ubora za mafunzo mliyonifunza walimu wangu. KCMC na CUHAS ni alama kubwa katika historia ya uwekezaji katika elimu ya Tiba uliofanywa na na kanisa la Katoliki na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania. Mm binafsi nawapongeza sana Askofu Pissa, rais wa baraza la maaskofu Tanzania na Askofu Malasusa kwa kazi nzuri zenye matokeo yanayoonekana.

Kanisa ni tumaini la watanzania, maaskofu wetu tunawategemea kuwa tumaini mahali pasipo na tumaini. Tusaidieni kuiangazia nuru nchi yetu.

Ahsanteni sana baba maaskofu wangu. Mungu awabariki sana
 
Heshima hiyo uliowapa ni uthibitisho kwamba wao wamemaliza kazi yao, bado wewe,, jitume kwa utaalam wako na nidhamu ili na wewe upewe heshima kama ulivyowapa wao.
 
Leta fact na evidence... suala la wewe kusoma kwenye hivyo haina maana sana kudhani kwamba vitakuwa ni bora.

Hoja yako ipo based na opinions zaidi
 
Kigeregere cha kwanza anapiga mwenye mwali. Tuliosoma vyuo hivi tunaowajibu wakutoa mrejesho kwa umma. Yale niliyoyaona na kuyaishi ndio tunayowashuhudia.
 
Wapi ulisoma Undergraduate na wapi umesoma Postgraduate kati ya hivyo Vyuo!?
 
Back
Top Bottom