Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

Kazini imekuwa ngumu kwangu msaada

Lukaku marata

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2019
Posts
448
Reaction score
752
Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.

Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine, changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa.

Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
 
Umepeleka Ma ombi ya Kuomba nyongeza ya Mshahara?

Au umeanza kuja hapa?
Kama bado nenda Na ukifika achana na masuala ya mwenzako, Jizungumzie wewe.
Ukute anajua kichwa chako kipo resi, anakudanganya Ujae..
Au ulijichanganya kwenye mkataba.
 
Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.
Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine,changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa. Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
Mshahara wa mtu mwingine haukuhusu, akili kama za Feitoto yani.
 
Umepeleka Ma ombi ya Kuomba nyongeza ya Mshahara?

Au umeanza kuja hapa?
Nenda Na ukifika achana na masuala ya mwenzako, Jizungumzie wewe.
Alete kwanza CV yake na CV ya huyo anayemlalamikia.

Kuna wajinga bado hawajui mtu anaweza kukuzidi madaraka na wewe ukamzidi mshahara.

Mwalimu mkuu wa shule anaweza kuzidiwa mshahara na Mwalimu wa kuwaida ambaye hana Madaraka.
 
Majitu ya hivi kazini yanakuwaga na roho mbaya sana , huo mshahara wake ww unakuhusu nini? Akipunguziwa mshahara utapata faida gani?

Je, ungekuwa serikalini ingekuwaje mnakaa staff moja utakuja mwenzio ana 2milion afu mwingine una laki nne kisa tu kakutangulia kazi yeye kapanda daraja na ukija kwenye kazi ww ndo unapiga kazi haswa
 
Alete kwanza CV yake na CV ya huyo anayemlalamikia.

Kuna wajinga bado hawajui mtu anaweza kukuzidi madaraka na wewe ukamzidi mshahara.

Mwalimu mkuu wa shule anaweza kuzidiwa mshahara na Mwalimu wa kuwaida ambaye hana Madaraka.
Huwezi Dai nyongeza eti kisa Mwenzako anapewa zaidi, Njaa hiziii, Ukute yeye alijitia tanzi kwenye mkataba, Wenzake wakasimamia Juu.
 
Makazini kuna mambo mengi, usipende kuangalia mishahara/posho za wenzako; utapata presha, kwa kukushauri, anza kutafuta chimbo lingine la kazi, hapo iwe ni sehemu ya kupata uzoefu.

qw.jpg
 
Habarini wanajamii,niende moja kwa moja kwenye changamoto yangu.Nimeajiriwa kwenye taasisi moja hapa jijini dar,sasa katika ajira yangu kitengo nilichopo tulikuwa wawili mimi na huyo niliyemkuta yeye mwenzangu alikuwa kanitangulia kama miaka miwili pale kazini japo tulikuwa level moja ila kiwango cha mshahara alikuwa ananizidi kwa gap kama 800k kabla ya makato.
Baada kama ya mwaka mmoja jamaa aliondoka baada ya kupata kazi nyingine so pale nikabaki mwenyewe na baada kama ya miezi miwili akaletwa mtumishi mwingine,changamoto inakuja yeye analipwa salary kubwa kuliko mimi na ni gap kama la 950k hivi ila mara nyingi kazi mimi Ndio namwelekeza na mara nyingi pia huwa naulizwa. Mimi moyo yea kufanya kazi haupo kabisa naona kazi ngumu Halafu mwenzangu analipwa vizuri.
Hebu wakuu mnisaidie katika hali hiyo nifanye nn?
Hizi kazi za Makampuni sijui Taasisi Mishahara huwa haina Scale ni Mdomo wako tu..Taasisi inawexa Ikawa Imeoanga kwa Level yako kukulipa 2mil sasa wewe ulipoulizwa tukulipe sh ngapi ukakomea laki kadhaa wenzako wakasema mil 3 wakapunguzwa mpk mil2 kwahiyo usishangae

Piga kazi Ila Hiyo ni Dalili ya Wivu tu
 
Back
Top Bottom