Hello mwanajamii!
Bila shaka uu mzima wa afya na una nguvu nzuri ya kufanya kazi na kupata kipato.
Je, wewe uko tu nyumbani umelala na huna unalofanya?
Je, wewe uko unatafuta ajira?
Je, wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote(sales)?
Je, wewe hujawahi kufanya biashara yoyote lakini unahisi unaweza?
Je, wewe unapenda kufanya biashara nyingine ya pili licha ya hiyo unayofanya?
Je, wewe unapenda kuongeza kipato kingine licha ya kazi unayofanya?
Hujachelewa kama una mpango wa kupata njia njema ya kuyaendea maisha mazuri. Niandikie ujumbe kwenye email: healthwealthfirst@gmail.com pia waweza kunipigia 0776491294
Hii ni kwa watu walio DAR-ES-SALAAM tu
Sasa maswali yote ya nini ni utuambiye kama kuna nafasi ya kazi au una fursa fulani watu waichangamkie vinginevyo yawezekana unataka kuwaibia tu na siyo kazi
Pouwa mkubwa mie natafuta kazi nimemalza 6 mwaka jana nisaidie please 0716164147/0762612213
asante
Sikia ndugu kazi!! Kazi!! ndo nini kila mtu ana proffessional yake bana awe wazi mtu ujue kama kweli unaendana nayo au vip hao ndo wezi kwenye mitandao mtu hayupo wazi anatoka wapi anafanya nn kuwa makini sana.Ndugu zangu watanzania kuweni na busara japo kidogo,ivi unaposema kazi yenyewe kutembeza vyombo mtaani! Kwani kutembeza vyombo si kazi?au hujui nini maana ya kazi? Tambue kunawengine wanazitafuta usiku na mchana kama nilivyo mimi. Kwahiyo usipende kuleta dharau ktk vitu vya msingi kwa wengine. Na uwenda wewe mwenye kulakulala kwa mzee wako.
Hello mwanajamii!
Bila shaka uu mzima wa afya na una nguvu nzuri ya kufanya kazi na kupata kipato.
Je, wewe uko tu nyumbani umelala na huna unalofanya?
Je, wewe uko unatafuta ajira?
Je, wewe ulishawahi kufanya biashara yoyote(sales)?
Je, wewe hujawahi kufanya biashara yoyote lakini unahisi unaweza?
Je, wewe unapenda kufanya biashara nyingine ya pili licha ya hiyo unayofanya?
Je, wewe unapenda kuongeza kipato kingine licha ya kazi unayofanya?
Hujachelewa kama una mpango wa kupata njia njema ya kuyaendea maisha mazuri. Niandikie ujumbe kwenye email: healthwealthfirst@gmail.com pia waweza kunipigia 0776491294
Hii ni kwa watu walio DAR-ES-SALAAM tu
mkuu nimemaliza form six na sasa nipo kitaa,0719579733