Kijana anaeweza kuuza duka

Glas

JF-Expert Member
May 30, 2016
1,244
1,180
Habari, anahitajika kijana anaweza kufanya Kazi zifuatzo kwa pamoja kuuza Viatu, na mishikaki wakati wa jioni eneo ni Moro mjini.
Just PM me

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahaha hapo ndo utata ulipo, chakula na viatu eneo moja na muuzaji mmoja!

Labda anataka wawili maana si rahisi mtaa wa viatu uingize biashara ya chakula.

brain is the beautiful part of the body.
Kuelewa nako ni muhimu before hujacomment....rudia kusoma utaelewa, usikurupuke! Nmesema mishkak ni jioni....i meant nyt n not at the same place....NB: what u think u can't other can!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuelewa nako ni muhimu before hujacomment....rudia kusoma utaelewa, usikurupuke! Nmesema mishkak ni jioni....i meant nyt n not at the same place....NB: what u think u can't other can!

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole mkuu nahisi umepanic!

Kuna mahali umesema maeneo ni tofauti?
Kama hujasema maeneo ni tofauti, inawezekanaje uuze viatu na nyama eneo hilo hilo?
Pia kwani viatu jioni ni marufuku kuuzwa kwa mjibu wa sheria?

Pole na samahani mkuu kama nimekukwaza.
Habari, anahitajika kijana anaweza kufanya Kazi zifuatzo kwa pamoja...
Kuuza Viatu, na mishkak wkati wa jioni...eneo ni Moro mjini....
Just PM me

Sent using Jamii Forums mobile app

brain is the beautiful part of the body.
 
Back
Top Bottom