Uvaaji wa wafanya kazi na vitendea kazi vinaonesha bado tuna safari ndefu sana ya kitaaluma
Injinia soma hiyo,kazi kweli kweli!Hawa ni wengi sana Africa ila kwakuwa kuna kula kwa urefu wa kamba mara nyingi kesi zao huishia gizani
Wanasema money talk.. Pesa hupofusha.. Pesa hutia uziwi.. Pesa hupindisha haki . PESA HUDHULUMU HAKI YA KUISHIView attachment 3317168