Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 349
- 503
Kama unapenda kufanya kazi za remote hii inakufaa Mercor | Find Remote Work Opportunities
Hapana mkuu hii ni miongoni mwa app ambayo unaweza kuomba kazi duniani kulingana na ujuzi wako na ukipata kazi hiyo unaweza kuifanya popote pale uliopoRemote Control au? Kwenye TV Flat au ile yenye Chogo?
Siyo chai mkuu wewe jiunge kama unaujuzi unaweza omba .hulipwa kwa doraChai
Untie my hands...Hapana mkuu hii ni miongoni mwa app ambayo unaweza kuomba kazi duniani kulingana na ujuzi wako na ukipata kazi hiyo unaweza kuifanya popote pale uliopo
Hizi links sio ngeni kabisa mkuuSiyo chai mkuu wewe jiunge kama unaujuzi unaweza omba .hulipwa kwa dora
Mkuu nimependa kushare mwenye uhitaji afanye ,hizi links nikapa vile unavyoona ajira portal tu ila hizi ni za International jobs na zina kazi mbalimbali hivyo ukiomba kama utapata unaweza kufanya job hiyo hata kama ukiwa tzHizi links sio ngeni kabisa mkuu
Labda uniambie zinahusua kazi gani
Anhaaa ngoja niusevu huu uzi uta isaidia mbele kwa mbeleMkuu nimependa kushare mwenye uhitaji afanye ,hizi links nikapa vile unavyoona ajira portal tu ila hizi ni za International jobs na zina kazi mbalimbali hivyo ukiomba kama utapata unaweza kufanya job hiyo hata kama ukiwa tz
Unatokea mapori ya wapi ?Remote Control au? Kwenye TV Flat au ile yenye Chogo?
Huku Ndi CHI kwa ndani kidogo... wewe sasa upo pori gani la akiba?Unatokea mapori ya wapi ?