Kazi za masharobalo

Hahahaha hii msiwasingizie masharobalo ni wanaume wote mpo hivo tena mna mbio haswa mpaka viatu vinawatoka.
 
Ina fundisho. Wengi wanapenda kuwafukuzia mabinti lakini wakishapata ujauzito huwakimbia.
 
Hahahaha hii msiwasingizie masharobalo ni wanaume wote mpo hivo tena mna mbio haswa mpaka viatu vinawatoka.
<br />
<br />
kwani na wewe ni mmoja kati ya wahanga wa hili swala la mimba zisizo na mpango..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…