KIDTVTC
Senior Member
- Jan 8, 2019
- 190
- 36
TAREO-Tanzania Rural Empowerment Organization ni asasi isiyo ya kiserikali yenye makao yake makuu Moshi, Kilimanjaro.
Hoja ya jukumu la asasi hii ni kuwajengea uwezo wa kazi wa vijijini hususani WATOTO, VIJANA, AKINA MAMA NA WAKAZI WA VIJIJINI:
Tunalenga kuwajengea uwezo katika Nyanja za
Kwa yeyote anayenda kujitolea, kujijengea uwezona pia kukutana na fursa za kuji-ajiri anaweza kujiunga nasi kwa kujitolea
Tunapokea vijana na mtu yeyote anyependa kutumia taaluma yake, kipawa na ujuzi wake kufanya kazi na sisi:
Karibu ujiunge nasi leo (muda wa kujitolea ni kati ya miezi 3,6 na hata mwaka mmoja)
Wasiliana nasi leo-----mkurugenzi 0717157640 /+255272750531 E-mail info@tareo-tz.org

- Elimu (Tuna vyuo na shule za awali)
- Tehama(Tuna kituo cha mafunzo ya TEHAMA-digital skill centre-Himo)
- Afya (Dispensary ya Kyomu Kahe na kituo cha afya)
- Ujasiriamali (Majengo vocational Projects—www.majengo.africa)
- Ufundi stadi na (Chuo cha ufundi KIDT VTC)
- Miradi ya kujiingizia kipato na kuji-ajiri (Majengo,Dar na HImo)