Kazi za it bongo hizi hapa

Kazi za it bongo hizi hapa

Singida ndio home

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2012
Posts
3,188
Reaction score
3,379
Natumaini wengi wetu humu ndani wanasoma it na wengine wanataka kuingia it na wengine wanaangalia tu, kimsingi soko la kazi za it hapa bongo bado sio zio zuri sana since hatupo compatible sana ukilinganisha na wenzetu wa huko nigeri, india, phillipines ambao mara nyingi hutafutwa na kampuni za bongo kuja kufanya kazi huku, ok kazi za it bongo kwa vyeti vya bongo ni kama ifuatavyo.

makampuni ya mitandao mfano tigo 9% walioajiriwa wengi wa nje wanasom a tech ya kisasa
media mfano tv, radio 46% hata kwa elimu ya bongo hapa tupo fresh na ni simple
fundi computer na simu 69% cha msingi ni skills na mtaji
stationary work mfano typing 91% ni wewe tu kama hujui ms word hivi kweli ulisoma it
software engeneering 4% hapa tuwaachie wajuu tu hii ki2 si mchezo
system security 6% kuhack kwenyewe tu ishu sasa kulinda itakuwaje

haya wadau nipen mtazamo na changamoto zenu
 
waajiri walio wengi wanahitaji watu walio competent,wenye skills,na kujiamini,nafahamu some guys, good in IT,wameajiriwa na makampuni hapa tz. Dunia ya sasa ni ya ushindani, a lot of kenyans nowdays ndo wanapata hizo nafasi,tatizo tunaloliface wa tz ni ubabaishaji mwingi,ndio kinachoturudisha nyuma. Soko linakua kwa kiasi kikubwa tu sio kwamba kazi hazipatikani,hatujajiweka tayari,kila mtu anafocus kuajiriwa,thats a problem,uzuri wa field ya IT,you can sit down and create something good and useful kikakupatia ajira mifano ipo mingi tu.
 
itaje mifano hata mitatu ili watu wajue pakuanzia
 
Back
Top Bottom