Kazi za Dr Slaa Kusini zawasisimua wengi

Tunawaomba viongozi wakuu wa CDM baada ya operesheni okoa kusini waanzishe operesheni okoa kanda ya Kati
 
Watu kama slaa ndio wanaotakiwa cdm.wanashiriki na kujitoa kwa moyo wote kwenye kukijenga chama.hutawahi kuwasikia hata sikumoja wanamalumbano ndani ya chama.ndio viongozi wa kweli jamani.tofauti na wale jamaa wengine ambao wakati akina slaa wanashinda njaa kwa kukosa muda wa kula kutokana na kazi za uenezi za kichama,wao wako busy kwenye mitandao ya twitter,facebook na Blogs kibao wakijisifia na kuusaka uenyekiti wa chama au nafasi ya kugombea uraisi.wako busy kutuma watu wakuwatumia kuwapigia debe.wenzao wanajenga chama wakati wao wanavizia chama kinakua then wao ndio waongoze na kupata credits wasizostahili.kwa anayefikiria ni lazima uwe mwenyekiti wa chama ili upiganie wananchi au ujenge chama ni mjinga,mzembe na mvivu.wako kutaka uongozi tu ili wazidi kujinufaisha wenyewe.wanajidai na kigezo cha demokrasia as if wanaelewa maana kamili ya demokrasia.DEMOCRACY my ass!kwa wao demokrasia inatumika pale tu wanapotaka kugombea uongozi ndani ya chama.chadema ingekuwa haina viongozi strong kama mbowe na slaa nawahakikishieni kwamba kisingekuwepo na nguvu mpaka sasahivi.viongozi walio loyal na chama wanaonekana wazi kabisa,jinsi wanavyoshiriki kikamilifu kila hatua kwenye kukiimarisha chama.kila leo wako kwenye kazi za kichama.huwezi pia kuwasikia wakianzisha malumbano ya kijinga ndani ya chama.viongozi wakuogopwa ni wale ambao wamejitenga na wenzao,hawashiriki kwa dhati shughuli za kichama,kila leo wanamatatizo na viongozi wenzao,kila leo kazi yao ni kulalamika kwamba wanaonewa,wako busy kwenye mitandao kupost topics za kujisifu wao tu na wala sio chama chao.always wanajifanya wao ndio bora zaidikuliko wengine,hawana team work kwasababu ni wabinafsi.tukiwa na mwenyekiti wa chama au raisi kama hawa watatusaidia nini?be blessed!

Tell them! Ubinafsi na lack of team work. Inakera sana. Watu wanataka personal recognition, hawaoni aibu mtu mzima kama Dr Slaa yuko anashinda njaa kukijenga chama, alafu wao kutwa mitandaoni na "swaga" za kitoto
 
mkuu hapo umenena! Nimetoka facebook na kukuta genge la vijana wa CDM ambao mpaka sasa wapo addicted na uchaguzi wa BAVICHA yani ukiona post zao ni lazima utashika kichwa yani sio wanacdm kabisa kwani wao kutwa ni kuuza sura na mapenzi tu mule fcbk alafu wanajiita wanaharakati wa CDM, watu wote waige mfano wa slaa bhana na sio kuuza sura sasa si bora uhamie TLP huko.´ebooo
 
Mkuu hebu waweke hadharani pamoja na ujinga wanaoandika tuwajadili
 
Mkuu hebu waweke hadharani pamoja na ujinga wanaoandika tuwajadili

Mkuu ingia kwnye fcbk wall ya yule makamu wa BAVICHA ndio utakuta ujinga wa vijana wenzetu yani wao ni kudiscuss mapenzi na uuza sura tu mpaka vijana wenzio wanamageuzi huwa wakiwashauri vp mbona nyie mpo humu kutwa na hamtoi updates za M4C, duuu sasa jibu wanalotoa yani laki- gamba gamba kabisa alafu eti kesho waje watake kujifananisha na slaa thubutu........
 
Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameelezwa kuwa mpiganaji asiyechoka kutokana na kazi kubwa anayofanya huko kusini tangu CHADEMA ianze operesheni Okoa Kusini wiki moja iliyopita.

Taarifa kamili zinasema Dr Slaa amekuwa akihutubia mikutano mitatu kila siku ambapo kwa siku zote hali chakula chochote mchana kutokana na kubanwa na muda.

Baada ya mikutano Dr Slaa anaongoza mikutano ya ndani mpaka saa 6 usiku na kisha anakuwa wa kwanza kuamka na kuwaamsha vijana wake waanze siku nyingine ya mapambano.

Imedaiwa pia kabla ya kila mkutano Dr Slaa anazindua matawi katika mitaa yote ya eneo husika.

Source: Kamanda Mwesilwa Perfect aliyeko kikosi kinachoongozwa na Dr Slaa katika operesheni okoa kusini.

Mkuu kama anafanya hivyo basi anaitaji kupumzika mnamchokesha bure au mnafidia mshahara wake wa milioni 7.5
 
Mkuu ingia kwnye fcbk wall ya yule makamu wa BAVICHA ndio utakuta ujinga wa vijana wenzetu yani wao ni kudiscuss mapenzi na uuza sura tu mpaka vijana wenzio wanamageuzi huwa wakiwashauri vp mbona nyie mpo humu kutwa na hamtoi updates za M4C, duuu sasa jibu wanalotoa yani laki- gamba gamba kabisa alafu eti kesho waje watake kujifananisha na slaa thubutu........

Yule makamu mkuu wangu alishajionyesha sura yake halisi tangu alipomlamba Shibuda miguu na kujitanabaisha anamuunga mkono.Huko FB anajifurahisha tu.Hata ubunge wa viti maalum aliokuwa anaufukuzia atausikia kwenye bomba.
 
Tell them! Ubinafsi na lack of team work. Inakera sana. Watu wanataka personal recognition, hawaoni aibu mtu mzima kama Dr Slaa yuko anashinda njaa kukijenga chama, alafu wao kutwa mitandaoni na "swaga" za kitoto
Heshima mbele mkuu GSL.niwie radhi kwa mtiririko mbaya wa habari yangu lakini nashukuru umeweza kunotice main point yangu na kuifupisha story. Lack of team work na selfishness.kwamba ndani ya chama inatakiwa kushirikiana kwenye utendaji.kwamba kiongozi anapojaribu kujiongelea yeye mwenyewe na kufanya kazi pekeyake pasipo kushirikisha au kurepresent chama chake basi ni kiongozi wa kuogopwa.kama kiongozi yuko chadema then anatoa comments ambazo hazieleweki,au anacretisize wenzake ndani ya chama chake basi ni wakuogopwa kama ukoma.sisemi kwamba viongozi wasitofautiane kimawazo.kutofautiana ni suala la kawaida na ndio demokrasia.lakini wana sehemu yao ya kuwakilisha mambo yao ya ndani ya chama.hamna sababu ya kuleta masuala ya utofauti wao kwa wananchi.kama nafasi ya kuingia chadema na nafasi ya kupata uongozi ndani ya chadema watu walitafuta wenyewe pasipo kupata mawazo ya wananchi ,na hata makubaliano yao na chama wananchi hawayajui sioni sababu ya wao kulalamika kwa wananchi pale wanapoona wanaonewa.
Tusubiri tuone viongozi wanafiki wataishia wapi.kwa kuanzia tuwaangalie hamad,kafulila,shibuda,mwakyembe, 6 na wengine wenye nia kama zao wataishia wapi.kamwe hawataweza kufikia malengo yao waliyojiwekea.kwamba ni watu ambao wako tayari kuua vyama vyao kwa manufaa yao wenyewe,pasipo kujali umuhimu wa chama walichopo kwa wananchi wengine ambao ni wanachama.kwamba viongozi kama hawa niliowataja wako radhi kuvunja chama kwasababu ya kugombania madaraka pasipo kufikiria madhara makubwa na usumbufu wanaopata wananchi waumini wa chama husika.kiongozi mmoja yuko tayari kuumiza mioyo ya maelfu,malaki au mamilioni ya watu wengine kwaajili ya ubinafsi.hawajui kwamba mwisho wa siku kuna MUNGU ambaye ndiye judge mkuu asiye pokea rushwa wala kudanganywa.MUNGU huyu ndiye pia anasikiliza vilio vya wananchi wanaoshinda njaa kwa kukosa viongozi wakuwasaidia,wamama wajawazito wanaojifungulia barabarani njiani kuelekea zahanati zilizoko kl 6 kutoka wanapoishi,wajawazito wanaopoteza maisha wakati wa kujifungua kwa kukosa huduma za afya,wadogo zetu waliofariki kwa malaria kwa kukosa neti za kuzuia mbu,vijana wanaojiingiza kwenye kazi haramu kwa kukosa ajira,na vilio vya wananchi wengi wenye matatizo lukuki.Vilio vyao vimefika kwa Judge mkuu na naamini kabisa viongozi wenye nia mbaya au malengo tofauti na wanayowaambia wananchi watashughulikiwa ipasavyo.its too much.be blessed!
 
Wakuu Dr Slaa ameonesha njia na sisi tuige mfano ili ukombozi wa Tz upatikane kabla ya 2015 tuache maneno mengi ni wakati wa vitendo sasa
 
mie namkubali sana Shibuda,namfanyia mpango ajiunge Jahazi Modern Taarab..
 
Yule makamu mkuu wangu alishajionyesha sura yake halisi tangu alipomlamba Shibuda miguu na kujitanabaisha anamuunga mkono.Huko FB anajifurahisha tu.Hata ubunge wa viti maalum aliokuwa anaufukuzia atausikia kwenye bomba.

Only time will tel zem"
 
Hakika CCM wataikumbuka siku NEC ilipomengua Dr. Slaa kwa kigezo cha kutokuwa na uzoefu wa kisiasa. Nakumbuka ilikuwa nyakati za baridi, msimu wa uchomaji mahindi watu wa karatu waliposononeshwa na uamuzi wa NEC kumuengua Dr. slaa na kurudisha Patrick Qoroo` ambaye alikuwa amechoka hata kufikiri maneno, aliwahi kusema kijografia wilaya haina maji, hivyo alaumiwe mungu na siyo yeye. Mungu ni mkubwa, kwa kiasi kile kile walivyosononeka watu wa karatu kwa kuenguliwa dr. walicheka, walisherehekea ushindi kwa shangwe na nderemo, miaka minne baadaye, wilaya ikawa yenye maji kijiografia. Nakumbuka hata kwa mbunge wa zamani (jirani yetu) maji yaliingia. Baada ya kujua ukweli nilimlaumu sana baba kwa kuwa alitueleza yote aliyoaminishwa na jirani yetu (mbunge) na kutuaminisha sisi pia.
Hongera Dr. slaa, ila nisamehe kwa kejeli nilizotoa ulipotemebelea shule yetu wakati huo nilikuwa form three (2000), nililishwa maswali na majibu nilipewa, nilisukumwa nikuulize maswali yanoyokera. Nakumbu ulitabasamu, kabla ya kunijibu uliniasa mimi na wanafunzi wengi waliokuwa wanakusikiliza. Ulisema umeanza kuwasha moto wa mabadiliko, nakumbuka neno ulilo tumia la "mindset". Leo nikiangalia mabadiliko ya kifikra na wanachi kujiamini kuhoji matumizi ya serikali zao za vijiji, hakika najiona mkosaji. Ilikuwa suala la muda tu, lakini haikuchukua muda, ni pale nilipobemba dembe mbili na nusu ya maharage kwa umbali wa km 23 niweze kuuza ili nipate pesa ya tuishen ya chemistry nikiwa form five/six.
Wanajamvi mnisamehe, ni msukumo wa hisia,
 
Back
Top Bottom