Katibu mkuu wa CHADEMA Dr Wilbroad Slaa ameelezwa kuwa mpiganaji asiyechoka kutokana na kazi kubwa anayofanya huko kusini tangu CHADEMA ianze operesheni Okoa Kusini wiki moja iliyopita.
Taarifa kamili zinasema Dr Slaa amekuwa akihutubia mikutano mitatu kila siku ambapo kwa siku zote hali chakula chochote mchana kutokana na kubanwa na muda.
Baada ya mikutano Dr Slaa anaongoza mikutano ya ndani mpaka saa 6 usiku na kisha anakuwa wa kwanza kuamka na kuwaamsha vijana wake waanze siku nyingine ya mapambano.
Imedaiwa pia kabla ya kila mkutano Dr Slaa anazindua matawi katika mitaa yote ya eneo husika.
Source: Kamanda Mwesilwa Perfect aliyeko kikosi kinachoongozwa na Dr Slaa katika operesheni okoa kusini.
pamoja sana kwa kumkubali kamanda mkombozi DR wa ukweli hakika pia nmkubali sana, much respect mkuu popote hapo ulipo
Huyo ndio charismatic cum inspirational leader. Mpe report hata kama ni ya unkubwa gani na ina msamiati wa aina gani au majedwari ya aina gani ataisoma bila kusinzia mpaka aimalize na penye makosa atapaona na penye point atapaona. Huwezi kumlinganisha na wale wengine wasioweza kusoma reports bali wanaishia kwenye executive summaries na pengine hata hizo hazisomi. Bravo the Predident of 2015
Tuendelee kuwachangia CDM kwa mabadiliko ya kweli (through M-PESA)
Gari jipya la kutuongoza tunakoelekea from 2015 ni T2015CDM, DEREVA NI DR. SLAA. TUTAFIKA, CDM IDUMU NA MAKAMANDA WOTE WADUMU.
Na mimi ndo kiongoz wangu!
mapambano lazima kwa njia yoyotr na ndo maana ni mzee asiye zeeka meno na akili pia
Namkubali
This is the second Nyerere. Saa ya ukombozi ni sasa. We should support Dr Slaa for his commitment to save this ailing nation
A man who won't die for something is not fit to live. Martin Luther King, Jr.