Anaitwa nani huyo kigogo na alishawahi kushika nyadhifa gani serikalini?
Mkuu punguza jazba ongea taratibu tu. Ile orodha ya watoto wa vgg wa BOT ulishawahu iona? Watoto wa Luganjo? mwinyi et al. Labda ka ni uongo hiyo list
Wee mwehu nini? Njoo hapa BoT nikuonyeshe jinsi wenzako tulivyopata kazi pasipo kubebwa na "god father" yeyote, acha kubisha kwa kukariri wakati wenzio tunaongea kwa facts!
Loh! In otherwords tuondoe kichwani mawazo ya hizo kazi kwa sasa.BOT wanatumia muda mwingi kuscreen applications inaweza pita hata miezi sita au mwaka ndo wakaita interview alafu hata mkishafanya interview unaweza subiri hadi miezi sita ndo ukawa kwenye system rasmi
Habari!
Kuna yoyote mwenye taarifa kuhusu zile kazi za BoT zilizotangazwa
mwezi wa kumi na moja mwaka jana? :confused2:
mii nakupinga kabisaa kuna mdau mmoja yeye alikuwa anafanya kazi mwanza chuo flani aliapply kazi ya computer science mwaka 2012 october uzuri alikuwa na masters usiulize kama ni voda fasta aliapply akawa shortisted baada ya mezi 6 akafanya interview akaitwa kazini mwezi wa 6 2013 wala hamfahamu mtu kama ni riziki yako ipo ipo tu , la muhimu ni kuomba kwa imaniMkuu fikiria ishu nyingine tu ya kufanya , pale sisi tulikutana na mfanya kazi wa pale akatuambia tusipoteze muda wetu hizo nafasi zina wenyewe..nilichoka lakini ndo tutafanyaje nchi ni ya wanasiasi na familia zao tu!!
Bank Examiner 😛ray:
mii nakupinga kabisaa kuna mdau mmoja yeye alikuwa anafanya kazi mwanza chuo flani aliapply kazi ya computer science mwaka 2012 october uzuri alikuwa na masters usiulize kama ni voda fasta aliapply akawa shortisted baada ya mezi 6 akafanya interview akaitwa kazini mwezi wa 6 2013 wala hamfahamu mtu kama ni riziki yako ipo ipo tu , la muhimu ni kuomba kwa imani
Wee mwehu nini? Njoo hapa BoT nikuonyeshe jinsi wenzako tulivyopata kazi pasipo kubebwa na "god father" yeyote, acha kubisha kwa kukariri wakati wenzio tunaongea kwa facts!
sorry mkuu, hii kazi inahusiana na profession gani?
Wee kweli hamnazo, kama unabisha tu bila kujishughulisha hata kidogo basi wewe ni laana katika kizazi hiki! Najua umeshindwa kutumia akili yako kufikiria vizuri, sasa hata kutumia nguvu japo kidogo uje nikueleweshe napo huwezi? Au wewe ni dis-abled, who is handicapped both physically and mentally? Kama sivyo kwa nini usije ukakutana na mimi nikueleweshe kuliko kung'ang'ana ku-post ujinga nyuma ya keyboard? Halafu inaonekana IQ yako ni ndogo sana, hapa siyo BOT, ni BoT mjinga mkubwa wewe!Wewe ndo unawehuka mchana kweupee, tangia lini umeacha kuuza maembe buguruni sasa umeajiriwa BOT kutoa fact za walala hoi wanaoajiriwa BOT? hivi kwanza unajua kirefu cha BOT? ucjekuta mwenzetu una maana nyingine nikawa nabishana na wewe bureee!!!!
Bba, banking, accounting hata economics pia.
vipi kwa mwenye lets say postgraduate ya finance?
naona kama kuna correlation na hizo ulizotaja hapo juu mkuu! au sio?