Kazi Za BoT

Kazi Za BoT

yessss... Finance pia. Nilisahau.

ahsante mkuu!!

mimi nina higher diploma ya logistics and transport management.

nasaka deal yoyote ile ndani ya bandari kuu ya dar es salaam,

lakini hapo baadae nataka nisome postgraduate ya finance then nichukue MA ya finance hiyo hiyo!

unalionaje hilo wazo mkuu?
 
ahsante mkuu!!

mimi nina higher diploma ya logistics and transport management.

nasaka deal yoyote ile ndani ya bandari kuu
ya dar es salaam,

lakini hapo baadae nataka nisome postgraduate ya finance then nichukue MA ya finance hiyo hiyo!

unalionaje hilo wazo mkuu?

Soma MBA, usifanye post graduate na masters ya kitu kimoja. Kwa mtazamo wangu MBA itakuongezea wigo wa ajira.
Others can advise as well...
 
Soma MBA, usifanye post graduate na masters ya kitu kimoja. Kwa mtazamo wangu MBA itakuongezea wigo wa ajira.
Others can advise as well...

ahsante sana mkuu.. ila sijajua kwa mtu mwenye higher diploma kama anweza soma MBA.. naomba clarification hapo tafadhali!
 
ahsante sana mkuu.. ila sijajua kwa mtu mwenye higher diploma kama anweza soma MBA.. naomba clarification hapo tafadhali!

Nami sijawahi sikia mkuu, uwe na postgraduate alafu upige MBA hapo sijui
 
Walisema wataita wale wenye sifa wanazotaka tu.....only short listed will be called for an interview, kwahiyo kama unaona kimya endelea na mambo yako mengine
 
Sawa, ila watakapo anza kuita mtujulishe. Maana ambao hawaitwi hubaki kwenye hali ya sintofahamu.
Tulishawahi kufanya interview TRA tukafika mpaka kwenye oral stage na ikaenda vizuri tu ila we never heard from them since then. Tulisikia sikia tu maneno maneno from different unreliable sources mitaani.
 
Nami sijawahi sikia mkuu, uwe na postgraduate alafu upige MBA hapo sijui

ninachojua mimi ukiwa na advance dip/higher iliufike MBA lazima usome postgra. But ukiwa na degree unatembea kwenye MBA direct.
 
Njia za Mungu si kama za wanadamu..! Enyi wenye imani ndogo hadi unaona kupata kazi BOT ni kama unaenda peponi!! If GOD says yes it will remain to be yes and no one will amend it. Mambo ya kusema kuna cjui mnawaita vigogo ni akili za kitumwa & ujinga tu! WaTz nani kawaloga badilisheni mitizamo, kwani kuna mtu anayeweza kukupangia riziki yako..? ni sisi nakujichanganya kwetu ndio kumetufanya tuwe watumwa kwa baadhi ya watu mnao waita vigogo, nyinyi waTz badilikeni plz@Ideological Reforms
 
hivi benki kuu ina jumla ya vitengo vingapi jamani?

mimi nna profession ya safety and security.. ninaweza kweli kubahatika humo?
 
ninachojua mimi ukiwa na advance dip/higher iliufike MBA lazima usome postgra. But ukiwa na degree unatembea kwenye MBA direct.

In short,kuna vyuo hapa tz wanakubali usome masters ukiwa na adv dip,sema wengine hawakubali...nakushauri,soma post kwanza,then masters...nimefanya hivyo pia!
 
Uliomba post gani?kwa sasa unapiga mzigo wapi?

mkuu, sijaanza kazi mahala kokote bado! nina tu skills za safety and security ndo maana naulizia kama kuna uwezekano wa kupata nafasi ndani ya benki kuu!

msaada wako tafadhali!
 
Back
Top Bottom