kazi ya utangazaji

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Nov 8, 2011
5,759
5,289
Habari zenu wakuu!! natumai mpo safi mkienedelea na majukumu ya kila siku.mimi ni mtanzania mwenzenu ambaye nimekuw a nikitafuta kazi ya radio presenter katika kituo chochote Tanzania.sina cheti ila ni mzoefu na nina taaruma ya chuo japo sikupata cheti kwa sababu ya tatizo flani!! mwenye contact au wamiliki wa redio station wanaopitia humu naomba msaada wenu. thanx
 
Hafu usipende kutumia majina ka nasmile yan usiwe kama kina mchomvu sijui btwelve kisaaana
 
Habari zenu wakuu!! natumai mpo safi mkienedelea na majukumu ya kila siku.mimi ni mtanzania mwenzenu ambaye nimekuw a nikitafuta kazi ya radio presenter katika kituo chochote Tanzania.sina cheti ila ni mzoefu na nina taaruma ya chuo japo sikupata cheti kwa sababu ya tatizo flani!! mwenye contact au wamiliki wa redio station wanaopitia humu naomba msaada wenu. thanx

Okeee......!
 
Ajira za sasa hv ndg yangu zlvyo na bwebwe za ma cv na vyeti rudoo, na ww hapo huna cheti, utaskilzwa kweli! Anyway kila m2 ana bahat yake, ngoja wadau wapte, labda watakupungia mkono walau hata wakusalimie!
Napita tu....!
 
najua itakuwa ngumu lakini nina imani kupitia jf naweza nika pata ajira kwa sababu ninajiamini uwezo ninao na nipo tayari kufanya kazi popote nchini
 
Back
Top Bottom