Ibrahimu Riyad
Member
- Apr 15, 2016
- 16
- 5
Habari wanajukwaa naitwa ibrahimu Riyad Houmud Ruwehy naishi arusha kama kichwa kinavyojieleza natafuta kazi ya uandishi wa habari, makala.n.k kwenye blog/website nina vifaa vyote vya kufanyia kazi i mean laptop na modem naomba kwa ihsan yenu mwenye uwezo wa kuniiajiri ani PM au aniachie maoni yake hapo chini napatikana whatsapp/Telegram kwa namba 0713 569 869 shukrani