Natafuta kazi ya uandishi wa habari katika website au blog

AKILI TATU

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
2,659
2,822
Wakuu habari za muda huu, bila shaka mu wazima wa afya.

Najitokeza mbele yenu kutafuta kazi katika blog au website ,nipo tayari kufanya kazi muda wote (24hrs) pia ubunifu katika kazi.

Nina uwezo na vigezo stahiki kwa ajili ya kazi hiyo bila kusahau uzoefu wa kutosha.

Pia nina vifaa vyote mahsusi kwa ajili ya kazi hiyo

Kwa mawasiliano 0659929420
 
Ulicho nacho wew ndio ninachokikosa mim
Na nilicho nacho ndio unachokikosa wew
So tufanye joint
 
mimi nipo na site www.binruwehy.com lakini haipo active pia sina pesa za kuiendeshea kwasababu sijajua jinsi itakavyonilipa pia sihitaji kuwa mwandishi wa habari sababu ziwezi kutafuta habari
 
Wakuu habari za muda huu, bila shaka mu wazima wa afya.

Najitokeza mbele yenu kutafuta kazi katika blog au website ,nipo tayari kufanya kazi muda wote (24hrs) pia ubunifu katika kazi.

Nina uwezo na vigezo stahiki kwa ajili ya kazi hiyo bila kusahau uzoefu wa kutosha.

Pia nina vifaa vyote mahsusi kwa ajili ya kazi hiyo

Kwa mawasiliano 0659929420

Samahani mkuu..Kuwa na ujuzi ni namba moja, lakini huo ujuzi umeegemea katika nini mfano leo unapewe uandike mambo ya gesi kama uelewi lugha ( terminology ) za mafuta na gesi unachoandika kinaweza kikawa ni stori because watu wanaongea na data
 
uko sawa kabisa mkuu,mie ujuzi wangu umeegemea katika habari za kawaida tu sio za sekta maalumu kama hizo,japo pia naweza kuziandika pia kama nitapata mwongozo na data husika kulingana na sekta husika
 
Back
Top Bottom