Kazi ya sales promotion kwa form 4 leaver

Marketer

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
261
Reaction score
55
Habari zenu!

Sio promotion ya vyombo wajameni! Hahahahaaaaaa ! (Japo hamuipendi ila nayo kazi!)

Kuna kanafasi cha temporary cha sales promotion, kwa mkaka anaejitambua! Simply kazi yake ni kwenda sites zinazojengwa na special events kuwagaia vipeperushi vyetu. Ahahakikishe anawahamasihsa mafundi na mwenye nyumba wanunue bidhaa ya kampuni yetu! Wakinunua kwa wingi it means anafanya kazi nzuri! Ivo tu!

Usafiri!
Kuna baadhi ya siku atapewa gari safi Hilux double cabin na dereva amzungushe hizo sites na kuna siku ni mwendo wa daladala tu bt atapewa nauli!

Sifa za Mwombaji!

Awe amemaliza form 4 tu inatosha. (Form 6, na kuendelea usiiombe hamkaagi nyie, afu haitokufaa hii kwa usomi wako!)

Akiwa na uzoefu na kazi za sales au promotion itakuwa vizuri zaidi. (Kama ameshafanya ile ya vyombo au za line za simu hii kwake itakuwa rahisi sana)

Awe anapenda na anaenjoy hio kazi ( sitaki mtu wa kujilazimisha au kubembelezwa bembelezwa)

Awe mjanja na charmming kwa wateja!

Uombe mwenyewe (Mambo ya kuna mtu namjua ataweza, sijui namuombea flani hayatakiwi!)

Package!

FOR NOW

5000/day ukipewa gari la kuzunguka

7000/day bila gari (2000 nauli)

LATTER

Ukifanya vizuri kwa devotion na ukaperform nikarizika, nitakuapprove upewe mkataba permanent wa u sales representative, mshahara wa mwezi, transport allowance, Commissions, NSSF, Medical. (Sio guaranteed ila itadepend na performance yako)

Ombi!
Hii kazi kama unaiona haina maslahi na nini wewe ipotezee tu mkuu! Sio fresh ukiwadiscourage wenzio.

Na pia kama unasita sita au unajihisi hisi huiwezi au huitaki flani usiombe hii kazi, coz utazibia wenzio nafasi na utanisumbua kuja kuitangaza tena humu.

Ukiiomba hii kazi uhakikishe umeielewa vizuri, na kweli umeipenda na una nia nayo!

Jinsi ya Kuomba!

Nitumie Pm na unieleze umekizi hivo vigezo kwa kiasi gani na kwanini nikupe wewe!
 
kaka unaongea sana ww toa detail za kazi ni kampuni gani ,email address au namba ya simu ili watu wa-apply sio unabwatuka kwa sana
 
Mtu aliyefanikiwa kupata cheti cha from four kwasasa siyo wa kumchukulia kirahisi rahisi namna hii.
 
Mtake radhi umejuaje kwamba ni mkaka? anaweza kuwa mdada au in between
 
Kaka, naitwa Lilian nataka hiyo kazi lakini hujatoa simu namba yako tutakupigiaje?
Basi nakupa namba yangu kama utapenda nipigie: 0713 851173
asante
 
naitwa dev nipo tayari nichek kwa namba 0762049680 or 0682129281
 
naitwa dev nipo tayari nichek kwa namba 0762049680 0r 0682129281 am hardworker
 
kaka unaongea sana ww toa detail za kazi ni kampuni gani ,email address au namba ya simu ili watu wa-apply sio unabwatuka kwa sana

Kazi a PM siwezi kutoa details zije application 500 huko kwa katemporary post! We kama unaona nabwatuka sanaa usi apply baba wanaotafta kazi wapo wengi! Hapa nina PM zaidi ya 45! Embu fikiria na kuongea sanaa kwangu!
 
Mtu aliyefanikiwa kupata cheti cha from four kwasasa siyo wa kumchukulia kirahisi rahisi namna hii.

Aaaah wapi! Kuna watu graduates na post graduates wanafanya kazi huku BUREEEEEEE kwa kujitolea mwaka sasa. Na watu hawaachi nafasi hakuna! Tuna graduates from IFM na UDOM na UDSM wanalipwa hiyo 7000 kwenye department yetu ya sales tu ndo unapewa allowance huko kwingine wanajitolea bureeeeeeee!
 
Aloe vera styleeeee!mh

Haya baba kama alovera wanapataga NSSF, Medical, prermanent contract, mishahara, na transport allowance ok! For your info any sales post lazima ushinde field!

Ndo maana lazima mtu afanye kwanza tempo aangaliwe utendaji wake ama ndo kudekadeka ndo apewe contract kuepusha unamuajiri mtu kumbe anapenda full AC!
 
ok brother you can call me tupo wanamme 10 wasichana 8. call 0717927771
 
Back
Top Bottom