Zinduna
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 2,377
- 3,394
Nilikuwa najaribu kujichora, lakini nikakutana na kazi za wenzangu mtandaoni ambazo nimeziweka hapo chini ili muone tofauti ya kiwango changu na cha wenzangu, hata hivyo nimejitahidi jamani au siyo?
Naomba na nyie wadau mtupie kazi za usanii za mikono yenu
CC: utafiti, Excel, Tyta, Eiyer, Kaizer, KakaKiiza, Asprin
Last edited by a moderator: