Kazi ya Limao

NDESSA

JF-Expert Member
May 2, 2013
1,946
1,795
Wakuu napenda kujua kazi ya limao unapokamulia katika Supu ya nyama au kuwekwa kwa nyama choma,
Msaada katika hili.
 
limao lina kazi nyingi hasa unapolitumia alfajir kabla ya kula chakula chochote.jaribu google benefits of lemon utajifunz meng sana,lakn kubwa iliyonisaidia mimi ni kupunguza asidi ndan ya tumbo langu,ku boost ini,digestion nzuri ya chakula etc
 
Limao linasaidiaje kupunguza asidi wakati lenyewe pia ni acidic

Ufafanuzi mkuu
 
Wakuu napenda kujua kazi ya limao unapokamulia katika Supu ya nyama au kuwekwa kwa nyama choma,
Msaada katika hili.

Kwangu ni kuongeza ladha, ila naomba wataalam watujuze tofauti ya kazi ya limao na ndimu, kama hakuna poa, maana nina mndimu na limao, ningependa juwa..
 
limao lina kazi nyingi hasa unapolitumia alfajir kabla ya kula chakula chochote.jaribu google benefits of lemon utajifunz meng sana,lakn kubwa iliyonisaidia mimi ni kupunguza asidi ndan ya tumbo langu,ku boost ini,digestion nzuri ya chakula etc
Asante
 
Back
Top Bottom