Elections 2010 Kazi ya kwanza ya madiwani wa jiji la mwanza ni kumfukuza kazi mrugenzi

Ibra Mo

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
793
101
Kazi ya kwanza tunayowatuma Madiwani wa Chadema pa1 na wabunge wetu ambao kwa idadi yao watakuwa wana icontrol Halmashauri ya Jiji nikutuondolea hii Takataka(Wilson Kabwe)ni lazima aondoke,Ushenzi alioufanya kuanzia kwenye hatua za uteuzi wa wagombea,Campaign na hata kutangaza Matokeo hauvumiliki.Madiwani wetu waweke Shinikizo aondoke kama hataki waitishe maandamano wakazi wa Mwanza tupo tayari Nguvu ya Umma itamwondoa kwenye hizo ofisi zetu.
 
pili wafatilie maswala ya ardhi kuna uhuni sana kwenye hiyo idara
 
Kazi ya kwanza tunayowatuma Madiwani wa Chadema pa1 na wabunge wetu ambao kwa idadi yao watakuwa wana icontrol Halmashauri ya Jiji nikutuondolea hii Takataka(Wilson Kabwe)ni lazima aondoke,Ushenzi alioufanya kuanzia kwenye hatua za uteuzi wa wagombea,Campaign na hata kutangaza Matokeo hauvumiliki.Madiwani wetu waweke Shinikizo aondoke kama hataki waitishe maandamano wakazi wa Mwanza tupo tayari Nguvu ya Umma itamwondoa kwenye hizo ofisi zetu.

tena akafie mbali kabisa.
 
Wandugu
CHADEMA IMEPATA VITI VINGAPI KULE ? TAFADHALI NIJULISHENI
 
Huyo JKabwe atampeleka kwingine na fisadi mkuu.

Aende huko kwingine,lakini Mwanza hatumtaki,hatuna nafasi na mtu anayetaka kuchezea nguvu ya umma kwa manufaa ya wachache.Madiwani wetu,tutendeeni haki tafadhari,ondoa huyu mtu mapema iwezekanavyo!
 
Kazi ya kwanza tunayowatuma Madiwani wa Chadema pa1 na wabunge wetu ambao kwa idadi yao watakuwa wana icontrol Halmashauri ya Jiji nikutuondolea hii Takataka(Wilson Kabwe)ni lazima aondoke,Ushenzi alioufanya kuanzia kwenye hatua za uteuzi wa wagombea,Campaign na hata kutangaza Matokeo hauvumiliki.Madiwani wetu waweke Shinikizo aondoke kama hataki waitishe maandamano wakazi wa Mwanza tupo tayari Nguvu ya Umma itamwondoa kwenye hizo ofisi zetu.

Laurence mashati aliekuwa waziri wa mambo ya ndani ya chama (ccm) ameahibika sana baada ya kumzushia wenje kuwa sio raia
 
Back
Top Bottom