Kazi ya kujitolea

Kazi ya kujitolea

Wasomi mnabishana jinsi ya kugawana hela baadae, ukifikia phase ya kuhitaji fundi ceiling na decorations we nicheki dm hapo tunaelewana on the spot na tukielewana tunaanza kazi muda huohuo hatuna maneno mengi
Asante kwa ofa mkuu, jengo lilishakamilika
 
Salaam

Naona Kuna kitu watu hawajaelewa hapo....

Jamaa anahitaji wafanyakazi au tuseme (equation company) ni muajiri anahitaji waajiriwa kwenye nafasi ambazo zinahitajika kujazwa!

Kwenye maelekezo yake amesema anaenda kuwa na kampuni......

Hivyo ameshafata taratibu za kampuni inatakiwa iwe na vitu gani mfno MEMARTs ambayo itaonyesha umiliki wa hisa kwenye kampuni pamoja na wamiliki wa hisa tayari wanakuwa wamesha orodheshwa na kila mmoja kwa kiasi alicho changia kwenye hisa hizo!

sasa mnapomwambia awape umiliki hao wafanyakazi hata kwa asilimia ndogo ni kitu ambacho hakipo!

Hapo kampuni itatakiwa kuonyesha wafanyakazi waliopo either ni vibarua, (freelancer) , wanajitolea au wana mkataba kumbuka hivi TRA watahitaji kujua maake atatakiwa kulipa PAYE, hivyo hao ni waajiriwa kwenye equation company na sio minority shareholders!

Maake wakishindwa kazi wana uwezo wa kutolewa na kuwekwa watu wengine!

Hapo mngeniambia kwakua ndo kampuni inaanza labda awape priority na atapoanza kuajiri basi awape hao part time kipaumbele!!


Vinginevyo kama ni kampuni Ina kila kitu ambacho kinatakiwa kuanzia memarts, brela certificate, vibali kutoka kwa regulators, na other requirements as per company laws!

Congrats Mr
Uko sahihi
 
Nina wazo la kuanzisha kampuni ndogo ya ujenzi, ambayo timu yake itakuwa hivi:-​
  • Architecture - 1​
  • Quantity surveyor - 1​
  • Marketing - 1​
Kwa kuwa kampuni itakuwa bado ni changa, haitaweza kulipa mishahara kwa hao wataalamu, lakini itakuwa na uwezo wa kuwapatia chai na chakula cha mchana tu, ndani ya miezi sita.

Baada ya soko kuitikia, ndio tutaanza kupata mapato (mishahara).

Kwa wale wenye hiyo fani na wana nia kweli, njoo hapa jukwaani tujadili.​
Kuliko kutafuta watu wajitolee kwnye kampuni yako changa, ni heli utafute kampuni kubwa ujitolee kama kampuni ndogo, jeshi la mtu mmoja ili ujenge company profile, la sivyo watakuja kujitolea kwako na hakuna kazi za kufanya, watabaki wanashinda ofisin na kugonga menu tu bure.
 
Kuliko kutafuta watu wajitolee kwnye kampuni yako changa, ni heli utafute kampuni kubwa ujitolee kama kampuni ndogo, jeshi la mtu mmoja ili ujenge company profile, la sivyo watakuja kujitolea kwako na hakuna kazi za kufanya, watabaki wanashinda ofisin na kugonga menu tu bure.
Nashukuru kwa ushauri.

Kitu cha kwanza ni kuzalisha bidhaa kwanza, ndipo kazi ya masoko ndio ianze kuitangaza hiyo bidhaa, na dunia pia wajue tunafanya nini.

Kufanya kazi kwenye kampuni kubwa, ni sawa na kusema hizi kampuni zinazotengeneza juisi waungane na pepsi au kampuni ya Coca kuzalisha bidhaa za pepsi/coca na kuacha lengo lao la biashara. Hii ni kuua biashara yako.

Ni bora nianze chini ili kulinda 'brand' kuliko kurukia kwenye kampuni ambazo zipo tayari.

Kwa mawazo niliyonayo, itakuwa kampuni yenye malengo makubwa ya kuteka soko hapa na pale; kwa sababu itakuwa na 'App' yake.​
 
Back
Top Bottom