Kazi ya kujitolea

Kazi ya kujitolea

Unapo anza na mtu Hadi mkanayuka heshimu mchango wake na uwepo wake. Unaweza ukala asilimia kadhaa nao ukawapa asilimia kadhaa na zingine mkaziweka pending Incase muwekezaji nikijisikia kuja
Hii ni muhimu, iwepo kwenye majadiliano kwa hao wenye vigezo
 
Pia ni vizuri wakajichukulia kama waajiwa, kwa sababu watatumia majengo ya kampuni, watatekeleza malengo ya muda mrefu na mfupi ya CEO; kampuni ingekuwa iko vizuri, terms zingekuwa ni kuajiri tu hao wataalamu​
Kuna shida mahali hapa 🙄🤔, mkuu una elewa hapo mna Jenga biashara??.

Kama ndio 6 month-1 year ni muda mrefu, na unao weza kubadili taswira ya kampuni au biashara husika!.

jengo, usajili, hivyo ni vitu vya kawaida, kwani ni Kama ume jivutia upande wako.

Ndo maana Ume alika team work, ije iweke nguvu.

ambapo team work hiyo, ita shiriki kwenye maamuzi, kazi na hata kupanda na kushuka kwa biashara.

Ndani ya hiyo miezi 6, mki piga kazi. Wape sehemu ndogo ya umiliki bhana.
 
Unaona niliyokuwa nasema kwa nyie wasomi maneno mengi! Hata tayari mmeishaanza kurumbana sijui makampuni, brela, ..... ! Wasomi wengi ndo maana masikini!
 
Kuna shida mahali hapa 🙄🤔, mkuu una elewa hapo mna Jenga biashara??.

Kama ndio 6 month-1 year ni muda mrefu, na unao weza kubadili taswira ya kampuni au biashara husika!.

jengo, usajili, hivyo ni vitu vya kawaida, kwani ni Kama ume jivutia upande wako.

Ndo maana Ume alika team work, ije iweke nguvu.

ambapo team work hiyo, ita shiriki kwenye maamuzi, kazi na hata kupanda na kushuka kwa biashara.

Ndani ya hiyo miezi 6, mki piga kazi. Wape sehemu ndogo ya umiliki bhana.
Umiliki wao unaweza kuwa ni wa asilimia ndogo, kwa sababu kinachohitajika kwao ni 'skill' tu; vingine vyote kampuni inabeba.

Hii inatafsiri, kampuni inaweza kuwa na 95%, wao wakagawana hiyo 5% iliyobaki.

Ikiwa na maana, kampuni itaweza kuwaajiri watu wengine wenye hizo hizo fani, pale itakapotokea wao wameshindwa kutimiza wajibu wao.​
 
ewaa hapa Ume someka vyema, na ni baada ya kukukaanga 😆😂.

Ngoja waje Sasa.
 
Back
Top Bottom