realMamy
JF-Expert Member
- Apr 28, 2024
- 4,338
- 10,052
Sawa 😜Atupe location la office twende hapo kesho
Sawa 😜Atupe location la office twende hapo kesho
Hujawahi kuona watu wanaomba kazi za kujitolea?Majibu ya kisiasa ujue haya😅😅na hapa tunazungumzia utaalamu
Kupitia hiyo fani yako, inabidi tuanze kujenga uelewa kwanza kwa hawa wanaokataa ndoa.Nipo tayari mh Rais kuripoti kazini kesho mapemaaa!
Ila Mimi Sasa ni afisa ustawi wa jamii mtaniweka Kitengo Gani hapo!
Chai ntakunywa ila Cha mchana ntabeba nikile usiku
Kutakuwepo na mpishi mkuu, unaonaje ukawa wewe? 😀Visiwe na mchanga tu 😅😝
Location mkuu, hivi karibuni mtaiona mtandaoniBoss chai ntakunywa Cha mchana ntabebaaa nipe location kesho nitokeee
Huyu inabidi tumpe nafasi ya usekretari 😀Chukua chombo hicho wewe...ukikaaa wewe na sharubu zako wateja hawaji
Mkuu unapenda kutoa frusa zisizo na mantiki! Mda huo anatakiwa arudi nyumbn kwao? Awe anakula na kulala kwa mda huo?
Bro you're a fuvkin legend 😂😆Chai ntakunywa ila Cha mchana ntabeba nikile usiku
😄😄😄😄😄 Mbona itakua hatareeee.Ntakua msaidizi wako😛
Nipo vzri katika market..Sawa mkuu, muhimu uwe fiti ki analojia, kidigitali, na mwenye kuleta matokeo halisi kwa wakati.
Mfano; kwa wiki utatakiwa uhakikishe umepata oda kadhaa bila kujitetea.
Hujawahi kuona watu wanaomba kazi za kujitolea?
Tutafocus na Field tu 😅😅😅😄😄😄😄😄 Mbona itakua hatareeee.
Kazi itafanyika hapo unazani
Bro you're a fuvkin legend 😂😆
Sawa mkuuNipo vzri katika market..
Wee ukiwa tayari nicheki
Sawa wee mpe tuu mie nitakuwa namleta nankurudishaHuyu inabidi tumpe nafasi ya usekretari 😀
Wazo lako nizuri ila angalau uweke posho . Unapoanzisha kampuni nilazima utenge budget ikiwemo pesa za posho kwa haoKuna msemo unasema, unapokuwa na kazi ni rahisi kupata kazi; kuliko kutokuwa na kazi kabisa.
Kidumu chamaaaaaaa broBro you're a fuvkin legend 😂😆
Nina wazo la kuanzisha kampuni ndogo ya ujenzi, ambayo timu yake itakuwa hivi:-
Architecture - 1 Quantity surveyor - 1 Marketing - 1Kwa kuwa kampuni itakuwa bado ni changa, haitaweza kulipa mishahara kwa hao wataalamu, lakini itakuwa na uwezo wa kuwapatia chai na chakula cha mchana tu, ndani ya miezi sita.
Baada ya soko kuitikia, ndio tutaanza kupata mapato (mishahara).
Kwa wale wenye hiyo fani na wana nia kweli, njoo hapa jukwaani tujadili.