GOLDEN FRANX
New Member
- Oct 27, 2018
- 3
- 0
Mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 24 ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza udsm mlimani nasomea shahada ya kwanza ya elimu ya awali BED early childhood education.. lakini kabla ya hapo nimepitia mafunzo hayo ya ualimu elimu ya awali katika ngazi ya diploma nimeiva na nina gpa nzuri saaana naandika uzi huu kuwaomba wadau kama kuna mtu anahitaji kufundishiwa mtoto kwa mda wa ziada nipo tayari kujitolea kumfundishia kwa malipo kidogo ili niweze kujikimu katika maisha ya chuo kwani sikubahatika kupata mkopo na naish katika mazingira ya kujitegemea aidha kwa ambaye yuko tayari atapitia vyeti vyangu original na tutakubaliana muda ambao hautaathiri masomo yangu
Namba zangu ni 0742703100
Sitaweza kujibu comments kwani simu yangu hairuhusu cha msingi tuwasiliane kwa namba hapo juu
NB: ukaribu wa mazingira utarahisisha ufanisi asante.
Namba zangu ni 0742703100
Sitaweza kujibu comments kwani simu yangu hairuhusu cha msingi tuwasiliane kwa namba hapo juu
NB: ukaribu wa mazingira utarahisisha ufanisi asante.