Mkuu unachomea maeneo gani hapo katoroGeita...
suzMkuu unachomea maeneo gani hapo katoro
CCM stand ya kahama?
Barabara ya lami kwa mama nasorro?
Madukani ilipokua stendi ya lwamgasa?
Kumbe hapo suz kuna wana jf wenzangu
kila familia ina mwana jf memba au mgeni.Kumbe hapo suz kuna wana jf wenzangu
Njoo huku Lulembela Tumwagilie mioyo Masasi Pubkila familia ina mwana jf memba au mgeni.
Tukutane ks tule vitu.
nakuja suz badae dm namba yako nikuchekKumbe hapo suz kuna wana jf wenzangu
nakuja hapo sa1 jioni, nakaa karibu na pool.nakuja suz badae dm namba yako nikuchek