Pesa nayo mkuu.... kasungura kadogo.... hatuji kupanga vipaumebele, shida tupu!Hao ndo maarctecture na mainjinia.sio hawa wetu
Tena iliyofanyika bila kuathiri sana mazingira
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Hii barabara inatakiwa kabla ya kuingia kwenye mzunguko mtu apimwe kilevi, dah hapo jumatatu asubuhi ingekua inapita gari moja kati ya gari 30 nyingine zingekua zinasubiri madereva hangover ikate.
The Kawazu-Nanadaru Loop Bridge, in Japan, is an example of how to build a bridge from one mountainside to another when the sides of the mountain are so steep that it is not possible to build a road at the same elevation on both sides. It's one of the most spectacular bridges in the world.
Mkuu hii kama ile Kitonga tukaifanyia marekebisho mengi yangejirahisisha...
Manpesa za kutrngeneza hivyo?Hao ndo maarctecture na mainjinia.sio hawa wetu
Hii ni proposal hkn road ya hv.....
Mkuu nenda pale kimara kwenye stend uone maajabu stand imejengwa ya kuhamisha ila uzio umejengwa permanent na zile chuma hazilingani kabisa hadi nasema ni watu gani walipewa ile kazi[emoji23] [emoji23] [emoji23] kivipi sasa
Dar tuitakayo [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Mkuu nenda pale kimara kwenye stend uone maajabu stand imejengwa ya kuhamisha ila uzio umejengwa permanent na zile chuma hazilingani kabisa hadi nasema ni watu gani walipewa ile kazi
Mkuu hii kama ile Kitonga tukaifanyia marekebisho mengi yangejirahisisha...
Mkuu tutajihidi kuweka Tutaz nyingi...Ukiweka kitonga hii kitu madereva watakuwa wanachomokea pembeni humo na ovateki zao