Yan nimecheka kwa nguvu aisee wew jamaa unakipaji maalumHapa unaweza kuelekea Bagamoyo ili hali ulitaka kwenda Mkuranga
Mkuu kuna siku natokea kigamboni ili nielekee ubungo - kupitia daraja jipya, bahati mbaya kwa mazoea nikapita kushoto kwa kufuata mwelekeo kuwa Ubungo ipo kushoto kulingana na mwelekeo wa barabara bila kujari vile vibao (road signs), matokeo yake nikajikuta narudi tena Kigamboni na kulipa upya!Yan nimecheka kwa nguvu aisee wew jamaa unakipaji maalum
Mkuu kuna siku natokea kigamboni ili nielekee ubungo - kupitia daraja jipya, bahati mbaya kwa mazoea nikapita kushoto kwa kufuata mwelekeo kuwa Ubungo ipo kushoto kulingana na mwelekeo wa barabara bila kujari vile vibao (road signs), matokeo yake nikajikuta narudi tena Kigamboni na kulipa upya!
Nimetumia uzoefu niliopitia, tuonee huruma sisi madereva tunaotumia uzoefu zaidi kuliko alama za barabarani

Anabana matumizi eti............🙂🙂🙂🙂Mkandarasi wa bongo angenyosha tuuu ,,,,mzunguko wa nin
Nchi gani?Inaelekea ni kama msituni
ngoja Mshana jr ajeNchi gani?
Niache bhana mbavu zangu ha ina speaMkuu kuna siku natokea kigamboni ili nielekee ubungo - kupitia daraja jipya, bahati mbaya kwa mazoea nikapita kushoto kwa kufuata mwelekeo kuwa Ubungo ipo kushoto kulingana na mwelekeo wa barabara bila kujari vile vibao (road signs), matokeo yake nikajikuta narudi tena Kigamboni na kulipa upya!
Nimetumia uzoefu niliopitia, tuonee huruma sisi madereva tunaotumia uzoefu zaidi kuliko alama za barabarani




Ndg yangu, hebu Angalia post #8 hapo juu.![]()
![]()
kivipi sasa